Mke wangu hana nidhamu?


aiseee..hongereni
 
Jesus Christ - Snipper sasa maji yanayotoka kwenye shower unakaribishwa vipi? anatakiwa akufungulie au?
mi sina shower, hivyo maji yanachotwa yanapelekwa bafuni halafu naambiwa nyanyuka ukaoge! hii ni halali lkweli? yaani vile anavyomwambia mtoto ndo hata mimi mumwewe ninayemuweka mjini ananiambia! hata kama mnatetea ila mkumbuke lazima mila za kiafrika zifuatwe...mamb ya kujifanya wazungu ndiyo yanatuharibu sisi waafrika!
 
Hehehehee umaskin unazua matatizo mengi sana, ndomana nimesema sitakaa niingie kwenye ndoa hasa na mtz, wanaume wa kitz wamelelewa kuwa mke ni chombo cha ngono, hausigel, punda etc usitegemee watabadilika thats how they are
 
Reactions: amu
Problem si mila ila poverty, work hard badil bathroom yako uone ka mwenyewe hujamwita wife,baby twende tukaoge....
 
Problem si mila ila poverty, work hard badil bathroom yako uone ka mwenyewe hujamwita wife,baby twende tukaoge....
..kwa iyo mkiwa matajiri penyewe hakuna kukaribishwa? mbna mnalaumu umasikini tu jameni? hamuoni kama kuna umuhimu wa kutunza mila na desturi zetu?
 
Hahahaa kwahiyo ishu yako ni kukaribishwa? Kwan we huwez mkaribisha wife shower? Wewe una lugha tamu ya mahaba kwa wife wako? Mapenzi ni 2way traffic, yaonyesha hujui hata kumbembeleza mkeo, mara ya mwisho kumkiss mkeo lini? bila shaka hukumbuki...u see you are the source of problem in your marriage
..kwa iyo mkiwa matajiri penyewe hakuna kukaribishwa? mbna mnalaumu umasikini tu jameni? hamuoni kama kuna umuhimu wa kutunza mila na desturi zetu?
 
toa mfano dhahiri

Naona ushaanza uchokozi wako mpendwa, na ndio hapo unaponifanya nikupendage tuuu...ila mleta mada alishaniambia kabila la mkewe nami nilimshauri kulingana na uelewa wangu kwa hayo makabila.
Kitu pekee kinachonisaidia kuwajua watu mbalimbali kulingana na makabila yao, ni kwamba nimeishi mikoa mingi ya Tanzania na nimesoma na watu wa jamii nyingi za Kitanzania.
Mathalani, unapotaka kuoa Mpare:yo:, ni vyema ukajifunza vile wanawake wa huko wanavyoishi haswa wakiwa kwenye ndoa.
 
Dah hapo kazi unayo ndugu raha ya ndoa hakuna hapo, akiendelea na tabia yake hiyo itabidi ufanye maamzi magumu mana kuishi maisha ya shida kiasi fulani ni utumwa solution kwako mkuu ila pole sana!
 
Swali langu la msingi kwako ni je, tabia hiyo alikuwa nayo tangu ulipomuoa au amebadilika baada ya ndoa?
Ukweli wanawake wenzangu, majibu mengine mliyotoa hapa wala si ya busara. Kweli aende kuoga kisha ajikaribishe kimoyomoyo!!!!!! jamani that is too much!

Ninavyojua mimi, kabla ya ndoa kufungwa, kuna mafundisho huwa tunapewa, yapo mafundisho tunayopewa tukiwa mwanamke na mwanaume na yapo tunayopewa kila mtu peke yake. Na hapo ndipo tunapofundishwa adabu kwa waume zetu na unyenyekevu kwa sisi wanawake. Na hata kitchen party tunafundishwa kabla ya kwenda ukumbini, yapo mafundisho ya ndani na ya msingi san tunafundishwa, sasa sijui kama huyo alipitia hayo yote au la! wakati mwingine huwa ni tabia ya mtu, hata afundishwe yeye anadhani ndoa ni kushindana, ndg kushindana kwenye ndoa husababisha magomvi yasiyoisha na hatimaye ndoa kuvunjika kabisa, lakini mwanamke aliyefundwa akafundika hana tabia kama za mkeo.

Ushauri
Nakushauri upate muda wa utulivu na mkeo ikiwezekana mtoe out kisha mwambie kwa upendo kile unachokipenda kutoka kwake na kile unachokichukia kwake naamini kwa njia hiyo atabadilika.
 
..kwa iyo mkiwa matajiri penyewe hakuna kukaribishwa? mbna mnalaumu umasikini tu jameni? hamuoni kama kuna umuhimu wa kutunza mila na desturi zetu?
Hapo hakuna kukaribishwa unachotakiwa umbebe na kumpeleka kwenye bathtube, na umshushe taratibu huku mkisuguana
Unajua mila ulizonazo ni za kizamani wanaita mfumo Dume, yaani hata Wanawake walikuwa hawahesabiwi kwa kuwaona sio viumbe wa mbele ila ni dhalili
Mpende mkeo Snipper
 
Last edited by a moderator:
je wewe umewahi kumwandalia maji akaoge? umemkaribisha akaoge? au kwasababu unajiona wewe ni mwanaume unastahili kufanyiwa kila kitu? je wewe unafanyaga ambayo mke wako anayapenda na kuexpect kwako? toa ushamba wewe! treat others like the way you want to be treated
 
Denial! inawezekana na wewe una matatizo haya haya, ila umeamua ku-suppress.mwenzio anaomba ushauri wewe unajisifia.

Unanifahamu??Unajua naishije na mke wangu??Hebu fuatilia nilivyokuwa nachangia,acha kukurupuka.
 
Hehehehee umaskin unazua matatizo mengi sana, ndomana nimesema sitakaa niingie kwenye ndoa hasa na mtz, wanaume wa kitz wamelelewa kuwa mke ni chombo cha ngono, hausigel, punda etc usitegemee watabadilika thats how they are

Na hutapata ndoa hata hiyo ya Mtz,mnajifanya mnakwenda na wakati.
 
wanaume bwana mnaboajeeee
utajijuuuu and u wil keri uaself we huwezi kuweka??kama ameshindwa kukwambia jiambie mwenyewe kimoyomoyo
duh uamuzi huu sio msuri wa kuonesha upendo na kuendeleza furaha ya hapo kwa nyumba, Upendo wa kweli unamaliza kila kitu,
 
mie nafikiri kwamba hujafanya cha kutosha kutengeneza hicho unachokihitaji, kaa vizuri na mkeo mweleze taratibu in friendly situation coz kila mtu ana makuzi tofauti, chukulia kama mtoto mdogo asingepelekwa shule akafundisha anakuwaje,? anachukua alichokiona na anajua yuko right, kwa hiyo ndugu yangu piga darasa kidogo atakuwa mzuri, dont give up,
 

Ukiwa mama wa nyumba unaweza fanya ujinga huu.Mi wanaume yenyewe hii hata ufanyeje atakusaliti tu kama ameamua.
 
Duh ummu kulthum natamani mke wangu angesoma hizi hekima zako.Vipi umeshaolewa !.

nyie ndo mkitafutiwa nyumba ndogo mnakimbilia kwa wagaga kienyeji kunusuru ndoa zenu wakati unaiua ndoa ni wewe mwenyewe kwa mikono yako na kukosa maarifa.MWANAUME KWANGU NI MTOTO WANGU MKUBWA!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…