Mke wangu hajui kusamehe hata ukiomba msamaha

Mke wangu hajui kusamehe hata ukiomba msamaha

pole ndg. Joshua hizo ndio changamoto za ndoa, mimi nina mke mchaga (Mkibosho) siku mkikorofishana anabwabwaja ovyo mpaka unapata hasira ya kumtwanga ngumi maana hachagui maneno ya kuongea nilijaribu kumuonya naona akawa haelewi, mara ya mwisho nikamuambia ukiendelea na hayo MAKELELE yako na KUTOKUSAMEHE ndo utakuwa mwisho wa mimi kuishi na wewe hapa home (nitaondoka nikapange chumba niishi huko) akajibu kwa dharau kuwa YUPO TAYARI TUACHANE, Bro! mwezi uliofuata nilipanga chumba maeneo ya MIANZINI (Arusha) nikamuachia nyumba na gari. Na ninatuma pesa ya matumizi ya mtoto. Sasa nina amani hakuna wa kunipigia KELELE

Uamuzi uliouchukua wewe siyo sahihi,umemfaidisha mtu nafikir katika maisha yako akija mwingine au kukaa katika mazingira mengine ya kelele utakuwa unafaidisha watu,matatizo hayakimbiwi
 
Ukweli1 & House of commons ni ukweli mabinti wa kichaga ni maarufu huku mijin kushadadia ndoa (90% ya harus hapa DAR bi. harusi ni mchaga) shida ni kuwa wakishaolewa HAWAJIONGEZI, wanakua BARIDII (hamna jipya)
 
Uamuzi uliouchukua wewe siyo sahihi,umemfaidisha mtu nafikir katika maisha yako akija mwingine au kukaa katika mazingira mengine ya kelele utakuwa unafaidisha watu,matatizo hayakimbiwi
Amani ya roho kaka, kama nyumba wanaishi wanangu haina shida kabisa naiacha mchana kweupe kuliko kuja kuua (Mungu aepushie mbali kabisa) ukafungwa na watoto usiwaone tena!!!!
 
Unataka ushauri bila kutaja hayo makosa? Unanshangaza!

Kuna makosa hayasameheki, mfano kama unataka kumpelekea magonjwa ya zinaa nyumbani kwa uasherati? akusamehe?

kwa makosa kama hayo mimi kwanza nnakufunga jela, ukatie adabu na talaka yako inakufata huko huko.

Kama kazi yako kuharibu vitoto vidogo akusamehe?

Bila kutupa makosa asiyokusamehe, ni vigumu kupata ushauri wa maana, utadanganywa tu JF.
 
kosa halisamehewi/halifutwi kwa kujibiwa na matusi (toka kwa mwanamke), wewe mwanaume kuliko kumshushia makonde huyo mkeo bora uachane nae kwa TALAKA
 
pole sana asee ila iyo ni changamoto ndogo sana nafkili ukikaa nae na kuyaongea yataisha tu, japo ukweli mchungu n kwamba itategemea na aina ya kosa, sio awe amekufumania mara 7666 af utake mxamaha wa haraka tu.
 
Unataka ushauri bila kutaja hayo makosa? Unanshangaza!

Kuna makosa hayasameheki, mfano kama unataka kumpelekea magonjwa ya zinaa nyumbani kwa uasherati? akusamehe?

kwa makosa kama hayo mimi kwanza nnakufunga jela, ukatie adabu na talaka yako inakufata huko huko.

Kama kazi yako kuharibu vitoto vidogo akusamehe?

Bila kutupa makosa asiyokusamehe, ni vigumu kupata ushauri wa maana, utadanganywa tu JF.
Sasa utamfunga kwa sheria ipi??
pia biblia inasema Samehe mara 70.
 
Sasa utamfunga kwa sheria ipi??
pia biblia inasema Samehe mara 70.

Abake asamehewe? baka halafu kamwambie jaji akusamehe kama atakuelewa. Angesamehewa babu seya anaejulikana.

Ukiona mtu hataji makosa ujuwe ndiyo hayo hayo, hakuna mengine.
 
Atakusamee sema inawezekana unalazimisha akusamehe haraka wakati bado ana hasira, kukoseana kwenye ndoa ni kitu kinatokea ila ikitokea hekima inatakiwa itawale msameheane life lisonge!
 
Wengi hamjamuelewa mleta mada shida yake ipo kwenye KUKUMBUSHIWA makosa aliyofanya miaka hiyo ya nyuma kwa kosa la leo hata kama kosa la mwanzo aliomba msamaha na "AKASEMEHEWA"
 
kuzaa watoto 3 kwa miaka 5 ni suala binafsi asihukumiwe kwa hilo. kipi bora kutoa mimba au kuzaa hao wa 3?
 
Na mie katabia hako ninako aisee ninasamehe lakini sisahau
 
Mwenzako ana watoto watatu, wakiachana watoto ndio watapata shida, ndo maana inakuwa ngumu kwake kufanya maamuzi magumu mpaka akaja kuomba ushauri hapa jukwaani. Mimi nahisi mkewe ana maswala yanayomkera rohoni ambayo amekosa pa kuyasemea au mumewe ameshindwa kumtatulia. Akae naye chini amuulize anataka nini pengine, au muda mwingine awe atampa muda wa Kutoka yeye na wanaye aende sehemu kwa mapumziko ya siku mbili au tatu. Pengine ni stress tu za kulea ukizingatia miaka mitano ya ndoa mna watoto watatu.

miaka 5 watoto 3....???!!! wife kachoka
 
jaribu kuwackiliza watu wenu wa karbu kama mshenga au wazazi wake
 
Aaa mbona anakusamehetu, mmewezaje kukaa hadi mudawote huo mpaka kuzaa watoto 3? angekuwa hasamehe msinge fika huko,halafu nawewe usiwe wakukoseatu haipendezi, ndugu miaka 5 watoto 3 duh!!
 
Hawa wanawake ni janga kama hawajaolewa huenda kwa waganga wakiolewa ni mtihani ushauri wangu achana NAE dunia itamfunza
 
zamani nilikuwa nachukia sana ninapoona wanawake wenzangu wakipigwa na waume zao...bt nw i understand, aisee some women ni shedah! yaan unakuta jitu limejaa kiburi hadi unajiuliza kama alishawahi hata kufanya toba kwa Mungu wake..mana anajiona sahihi muda wote! Mungu ambaye ni mtakatifu anasamehe sembuse binadamu mjaa dhambi?? na kama alijua wewe ni mbaya sana, kwann alikubali kuolewa na wewe? kusafisha jina? sasa cha kufanya;

-punguza unyenyekevu kwake,onyesha wazi kuwa hufurahii ndoa. Onyesha wazi umeichoka tabia yake! akianza minenoneno mpotezee/mdharau!Aasikwambie mtu wanawake hatupendi kupotezewa! hiyo itakuwa bonge la adhabu! tena akianza kugomba...ondoka, rudi baadae sana, halafu kimyaaa! ataanza kujiona mjing a! kuwa mtu wa vitendo zaidi.

-ukimkosea mwombe msamaha mara moja tu, bt akiendelea kubwata usimbembeleze! toka mwache aongee peke yake! ukirudi akianza kurap, hama chumba...
-akikukosea ukimwambia kosa lake, akaanza kubwata, mwendo ni uleule tafuta cha kufanya, chukua hata cm kuwa nayo busy, wala usimnyenyekee! liache libwate weee, mwisho atajiona mjinga.

-acha kuwa naye busy! anza kumwonyesha kuwa yeye sio sababu ya wewe kuishi! mwonyeshe kwamba there is a lot to live for.. yaan hata ukiwa hm kuwa busy na mambo yako, km huna lakufanya kuwa busy na kids au hata simu na laptop yako! nakwamia atashuka tuuuuu!

Wanawake tuna tabia moja, tukijua tunapendwa huwa tunapenda kuonea..bt tukibadilikiwa tunakuwa wapooooleee! nakwambia atachange tu na utaifurahia ndoa yako. Neno la Mungu linasema 'wanaume ishini na wake zenu kwa akili' why..coz ni viumbe dhaifu. So akili ku kichwa bt zaidi mwombe Mungu ambadilishe

Ushauri huu ni pale tu mwanaume unapokuwa mume na baba bora! coz kukosea kupo. Bt kama na wewe ni mtambo, huvumiliki, unarudia yaleyale kila siku, mh! jitahidi ubadilike! coz hata uoe nani itakuwa hivyohivyo. hutakaa ufurahie ndoa
 
Back
Top Bottom