zamani nilikuwa nachukia sana ninapoona wanawake wenzangu wakipigwa na waume zao...bt nw i understand, aisee some women ni shedah! yaan unakuta jitu limejaa kiburi hadi unajiuliza kama alishawahi hata kufanya toba kwa Mungu wake..mana anajiona sahihi muda wote! Mungu ambaye ni mtakatifu anasamehe sembuse binadamu mjaa dhambi?? na kama alijua wewe ni mbaya sana, kwann alikubali kuolewa na wewe? kusafisha jina? sasa cha kufanya;
-punguza unyenyekevu kwake,onyesha wazi kuwa hufurahii ndoa. Onyesha wazi umeichoka tabia yake! akianza minenoneno mpotezee/mdharau!Aasikwambie mtu wanawake hatupendi kupotezewa! hiyo itakuwa bonge la adhabu! tena akianza kugomba...ondoka, rudi baadae sana, halafu kimyaaa! ataanza kujiona mjing a! kuwa mtu wa vitendo zaidi.
-ukimkosea mwombe msamaha mara moja tu, bt akiendelea kubwata usimbembeleze! toka mwache aongee peke yake! ukirudi akianza kurap, hama chumba...
-akikukosea ukimwambia kosa lake, akaanza kubwata, mwendo ni uleule tafuta cha kufanya, chukua hata cm kuwa nayo busy, wala usimnyenyekee! liache libwate weee, mwisho atajiona mjinga.
-acha kuwa naye busy! anza kumwonyesha kuwa yeye sio sababu ya wewe kuishi! mwonyeshe kwamba there is a lot to live for.. yaan hata ukiwa hm kuwa busy na mambo yako, km huna lakufanya kuwa busy na kids au hata simu na laptop yako! nakwamia atashuka tuuuuu!
Wanawake tuna tabia moja, tukijua tunapendwa huwa tunapenda kuonea..bt tukibadilikiwa tunakuwa wapooooleee! nakwambia atachange tu na utaifurahia ndoa yako. Neno la Mungu linasema 'wanaume ishini na wake zenu kwa akili' why..coz ni viumbe dhaifu. So akili ku kichwa bt zaidi mwombe Mungu ambadilishe
Well said Rachel no comment coz women understand themselves!!!!! puh