Mke wangu anataka kumrudisha Housegirl kwao ila sidhani atakayeletwa atakuwa mrembo zaidi ya huyu

Jifanye umepandisha mashetani na utoe onyo kwa waifu asije mrudisha lasivyo makubwa yatampata. Ukimaliza zimia wakikupepelea zinduga then zuga umechooka hafu hujui kinachoendelea.

Jey Mo style!!
haha nimecheka xn mkuu....ila hamna.nama atumie tuu hii njia for the best result
 
Hivi ni kwa nini wanandoa mmekuwa wazinzi hivi siku hizi? Ni nini kinachowafanya mshindwe kuwa waaminifu na kushika maagano ya ndo zenu? Kwa ni nini mnaendekeza anasa na tamaa za ulimwengu huu ambazo ni za kupita tu?
Halafu ndio hawa wanadai michango ya arusi kuliko deni, ameoa lakini jicho liko kwa msichana wa kazi. Sijui ameoa ili iweje sasa!
 
Huyu nae ni mume wa mtu jamani, uzuri wa housegirl unamchanganya mpaka anakimbilia Jf kuanzisha uzi... Mungu naomba uniepushie mume wa aina hii
 
Habari wanadimba,

Mke wangu amekuwa akimlalamikia sana housegirl wetu kuwa ni mvivu, wapangaji wanamlalamikia na kadhalika. Sasa anataka kumrudisha kwao. Wasiwasi wangu ni kwamba atakayeletwa asije kuwa ana sura ngumu...maaana mashallah huyu wa sasa mtoto kitu, japo bado dogo dogo na sina mpango nae lakini naenjoy kuwa na kitoto kitamu ndani. Sasa nifanyeje mke wangu asimrudishe kwao?

Asanteni wanadimba.
Tamaa huanza na mimba ikikomaa huzaa mauti
 
House girl ni msaidizi wa ndani! Nadhani mke ndio mvivu! Nao majirani wakuda wanalalamika kwani anafanya na kwao? Si unapajua kijijini kwao akimrudisha kamlete halafu mpangie uendelee kuosha macho Baba penda penda!
 
Tamaa ikishachukua mimba, huzaa dhambi..
Na dhambi ikishakukomaa, huzaa mauti!
Dunia tunapita yoooooo
Hakuna kitu kitabaakiaaaa aaaaaa
Binadamu ni mchangaaaa......

Linda Roho Yako
 
Huyu nae ni mume wa mtu jamani, uzuri wa housegirl unamchanganya mpaka anakimbilia Jf kuanzisha uzi... Mungu naomba uniepushie mume wa aina hii
Sidhani kama anaweza kuwa mume kweli, maana uandishi wake unaonesha ni maigizo tu.
 
Laiti ungejua, unavyofikiria hpo yeye alixhafikir kitambo xana kuwa ww unatamaa

Xaxa ngoja akuletee House boy, cjui utamrudixha kwao
 
Jifanye umepandisha mashetani na utoe onyo kwa waifu asije mrudisha lasivyo makubwa yatampata. Ukimaliza zimia wakikupepelea zinduga then zuga umechooka hafu hujui kinachoendelea.

Jey Mo style!!
Aisee usijaribu huu ushauri utapigwa na mwikoo upitilize
 
Jifanye umepandisha mashetani na utoe onyo kwa waifu asije mrudisha lasivyo makubwa yatampata. Ukimaliza zimia wakikupepelea zinduga then zuga umechooka hafu hujui kinachoendelea.

Jey Mo style!!
Amwambie "KITI anasema KINDA hakuna ruhusa kurudi kwao, Maana nahodha atayumba"
 
Back
Top Bottom