Mke wangu anataka kumrudisha Housegirl kwao ila sidhani atakayeletwa atakuwa mrembo zaidi ya huyu

Ingekuwa ni juu yangu ni ama ningepiga marufuku kabisa watu kuajiri hao wadada wasaidizi wa kazi au walau ningerasimisha hiyo ajira ili kuweka mazingira mazuri ya kulinda haki zao.

Kamwe sitokuja kuajiri mdada wa kazi. Kazi zote nazifanya mwenyewe.
Hivi wewe ni ke?
 
Habari wanadimba,

Mke wangu amekuwa akimlalamikia sana housegirl wetu kuwa ni mvivu, wapangaji wanamlalamikia na kadhalika. Sasa anataka kumrudisha kwao. Wasiwasi wangu ni kwamba atakayeletwa asije kuwa ana sura ngumu...maaana mashallah huyu wa sasa mtoto kitu, japo bado dogo dogo na sina mpango nae lakini naenjoy kuwa na kitoto kitamu ndani. Sasa nifanyeje mke wangu asimrudishe kwao?

Asanteni wanadimba.
Mrejeshe mkeo mwache mdada wa kazi ambakie.
 
Wewe na mkeo na hao wapangaji wenzenu ni mafala tu acheni unyanyasaji kwa mtoto. Hapo hata posho yake mtamzingua. Si mfanye kazi wenyewe.
 
mwambie atafute hg toka maeneo yaleyale aliyotoka huyo anayetaka kumfukuza.....ila kabla ya yote jaribu kukaa na mkeo umwombe amkanye binti na wewe kama baba ongea na binti mweke kitako mwambie aache uvivu ama sivyo atakosa kazi na kupata kazi ngumu sana mwambie fikiria sie hapa hatukunyanyasi ila kuna wengine wananyanyasa sana hg, so mpe kama maono na ushauri ili atambue umuhimu wa kazi hiyo
 
Ingekuwa ni juu yangu ni ama ningepiga marufuku kabisa watu kuajiri hao wadada wasaidizi wa kazi au walau ningerasimisha hiyo ajira ili kuweka mazingira mazuri ya kulinda haki zao.

Kamwe sitokuja kuajiri mdada wa kazi. Kazi zote nazifanya mwenyewe.
Kazini ukienda, kuchuna wako anabaki na nani nyumbani?
 
Ni uwongo kama ni kweli nipe number za huyo house girl nidhibitishe!!
 
Hivi ni kwa nini wanandoa mmekuwa wazinzi hivi siku hizi? Ni nini kinachowafanya mshindwe kuwa waaminifu na kushika maagano ya ndo zenu? Kwa ni nini mnaendekeza anasa na tamaa za ulimwengu huu ambazo ni za kupita tu?
 
Back
Top Bottom