Mke wangu anataka kula tunda kila siku kutwa mara 2! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wangu anataka kula tunda kila siku kutwa mara 2!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pape, Mar 29, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele wakuu,
  Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kamua mwana wane mpe haki yake wasije wakakugongea
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kitu inauma sasa! sometime nikiwaza hiyo kazi kitu kinalala doro!:confused::confused:
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asee utakua na matatizo wewe yaani hapo kwenye red unachoka? tena unalalamika mgongo!!
   
 5. T

  Tall JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako una cheza ule mpira wa kijerumani/bundersliga,nguvu nyingii,Tumia mchezo wa Brazil.
  Jua udhaifu wa mpinzani wako. Ukijua weekness zake chenga mbili unapiga bao, moja bila - unaongoza, baada ya muda goli la pili, hiyo ni mbili bila,yupo hoi.Ukija funga bao la tatu nawe ukapigwa goli moja, ukimwambia tuendelee atasema tupumnzike kidogo.Jioni ukirudi na kumuuliza vipi? atasema tulale kwanza,niamshe baadae.
   
 6. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Labda amekuhisi una kamchezo ka nje, kwa hiyo anataka kuhakikisha anakausha MAGAZINE yote. Hata kama ni mwendaji wa huko magazine iwe haina bullet.
   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahaha....ndio inamadhara sana kiafya kwa sababu zifuatazo
  1:- usipomla anavyotaka na kiu ikaisha ATALIWA NJE kupooza kiu yake na kisha atapata ngoma na kukuambukiza wewe kisha utakuwa na ngoma then utaishi kwa matumaini plus frasturations kisha utakufa
  2:- usipomla ataendelea kupata frustrations na stress kibao kisha ataugua magonjwa makubwa kisha kulazwa hospital na wewe kuingia gharama ambazo utashindwa kuzimudu na kisha utaiba kisha utakamatwa na kufungwa jela ambako mnyapara anaweza kukula kiboga then ukitoka unakuwa bwabwa kisha unaanza kupumuliwa kisha unapata ngoma then unakufa....

  TAFAKARI...CHUKUA HATUA
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  heheheh tall unanidai! yaani hiyo comment yako imemalizia kila kitu!
  hebu juulia udhaifu wa mwenzio, kisha mambo yote yatakuwa malaini.
   
 9. T

  Tall JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  SASA UTAFANYAJE? AKUTAFUTIE MSAIDIZI? WATU HATA KUTWA MARA TATU WANAWEZA? TUMIA...........1.Kahawa.2.karanga mbichi,4.konyagi,5.nyanya chungu,bamia halafu fanya joging angalau mara mbili kwa wiki. Aaaaah mengine nashindwa kukueleza hapa.si unajua tena? mchana huu, watoto wako likizo na hawajalala,...............baadae
   
 10. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mkinyimwa matatijo,mukipewa matatijo, lipi jema sasa.

  anyway kaka mi nahisi unaugumia maumivu kwa vile mind yako imekaa kinegative zaid kuhusu hilo. just put it in a positive way na hakika you will love it.ukiendelea kuwaza kua ni kama adhabu mwishoe athumani kichwa wazi agome kuamka bure afu pawe na mtafutano zaidi. ushauri wa bure eat moo water melon to make you mooore eeeh yo noo,
   
 11. T

  Tall JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  kuna zingine sub machine gun zinabeba risasi kibao,atazimaliza zoteeeeeee.
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hehehehehe:rolleyes:

  mkuu naona ukaruka kutoka 2 mpaka 4?:confused:
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  UNA BAHATI SANA PAPE Mshukuru Mungu kwa hilo.
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Aaah Pape! tell me it's not you bana! Kha!

  Vipi unataka swapping?
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  huyo mkeo Pape kiboko...ameshaondoa vile viatu pale kwenye seat ya mbele?
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Nenda kamuone daktari. Kwa dozi hiyo unachoka?
  Wenzio wanalalamika kubaniwa we unalalamika kupewa?
   
 17. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwenye statement yako inaonekana una mengi ambayo hujaweka bayana hapa. Pse do the needfull!
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Mwambie ndugu yangu natafakari nimnunulie size gani ya mbeleko
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  Pape unatuaibisha wanaume wote hapa how come unalalamikia kitu kama hicho bana...watu wanakitaka zaidi ya hicho mbona

  apo wife amekuwa very considerate..wengine tunatamani kutoroka mchana kurudi home ku do ze nidiful.....lol
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mzee mwenzangu unaniaibisha.
  Lakini shem kama mwanamke kamili si huwa aningia kwenye siku zake!
  Sasa wakati akiwa kwenye 'period' hapo ndo mapumziko yako
  lakini kwa hiyo dozi ya mara2 kwa siku ni cha mtoto.
  Pendelea kula tende na kunywa maziwa kila siku hayo maumivu ya kiuno hayotokupata tena.
   
Loading...