love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Ninaishi na mke wangu wa ndoa lakini tabia hii ya kumsifia jirani yetu ambaye ni me inanitia mashaka.Mara jirani kanunua hiki,mara jirani kamtoa out mke Dar free market,mara jirani kanunua gari nyingine.Nikamjibu basi si ukaolewe na jirani ndio kanuna weekend nzima.
Ushauri jamani nimpotezee au nijirudi nimwombe msamaha?
Mpotezee... nawe msifie jirani yako mdadaa!