Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Sometimes mke anakwambia hivyo kukupa motisha tu sio kwamba nalalamika wewe chukulia poa tu sio kugombana as long as tabia zake ziko pouwa
Tatizo sio kwamba hawaelewi, akitaka aichukie ndoa yake, na yeye aanze kumsifia KE ambae ni jirani yao, mbona ataihama nyumba!