Mke wangu anapenda kumsifia jirani yetu

Mke wangu anapenda kumsifia jirani yetu

Huyu jamaa fix tu hata haeleweki
lakini kiasili hakuna mtu mwenye mafanikio atakayeacha kusifiwa isipokua kama una wivu tu
 
Mwambie aache utoto,halafu wakati huo nawewe ukifight haswa ufanye mambo maendeleo...akiendelea kila mara kumsifia basi mpige chini umtafute mwanamke anayekukubali na hali yako.
 
usimuombe msamahaa anamsfiaje jamaa kila mara ....we kulabati ila fanya yako mtoe tu labda out na mengine ila si aaanzekusifia kulefanya kulingana na hali yako cha muhimu mmpende mjalimtoemtoe out
 
tafsiri yake ni kwamba fanya maendeleo hapo home.... kama mnaheshimiana na mkeo basi muulize kama amechukia kwa hiyo kauli kisha mwombe msamaha...
 
Ninaishi na mke wangu wa ndoa lakini tabia hii ya kumsifia jirani yetu ambaye ni me inanitia mashaka.Mara jirani kanunua hiki,mara jirani kamtoa out mke Dar free market,mara jirani kanunua gari nyingine.Nikamjibu basi si ukaolewe na jirani ndio kanuna weekend nzima.

Ushauri jamani nimpotezee au nijirudi nimwombe msamaha?

Mke wako anatamaa mbaya, na anatamani angekua na mwanaume kama jirani yako, usimwombe msamaha haraka lakini piga akili ya kuongeza kipato umpe starehe za msingi pia upate mkoko hata mmoja lakini akiendelea kutamani Gari la pili na la Tatu la jirani, yupo hatarini kumegwa au tayari, hapo hutaweza mridhisha ni kumpotezea
 
Badala ya kumwambia akaolewe na jirani, ungeuliza ujumbe wa maneno hayo.
 
Haya mambo ya kuoa ni taabu tupu "no woman no cry" bro. Mambo ya kugandana na Hawa viumbe mazee yataka moyo
 
Anavutia Na Aina Ya Maisha Ya Jirani, Na Yy Anahitaji Maisha Kma Hayo!!! Ujui Kushindana???
 
sipati picha huwa anakuanzaje anapoanza toa hizo sifa ukakasi kwa jirani..sijui ni katikati ya stori anyway ngoja niache tu ila kazi unayo.,
 
Usimuombe msamaha atakuona wewe zaifu sana mpotezee na ukijaribu tu atakutawala kinoma
 
Ninaishi na mke wangu wa ndoa lakini tabia hii ya kumsifia jirani yetu ambaye ni me inanitia mashaka.Mara jirani kanunua hiki,mara jirani kamtoa out mke Dar free market,mara jirani kanunua gari nyingine.Nikamjibu basi si ukaolewe na jirani ndio kanuna weekend nzima.

Ushauri jamani nimpotezee au nijirudi nimwombe msamaha?

Ingawaje sifahamu vizuri maisha yenu lakini naanza kuamini kuwa umeoa mke mwenye tamaa. Siku hizi wako wengi wenye tabia hiyo. Inaonyesha vilevile kuwa tabia ya tamaa inakuumiza au kukupa taabu. Lazima ukubali hizo ndio changamoto za ndoa. Kuna tabia nyingine zinajionyesha mkianza maisha. Jaribu pia kumwambia kuwa tabia ya kusifia watu wengine inakusumbua.Inabidi ujiandae kumvumilia mke wako ila ujaribu kufanya maendeleo shirikishi kulingana na uwezo wenu. Kumbuka kelele za mlango hazimnyimi usingizi mwenye nyumba.
 
anasema hivyo ili nawe uyafanye hayo yanayoonekana mazuri kwa jirani yako
 
Amesha onja utamu wa jamaa, sasa tulia utagundua mengi..jifanye kama hauoni...na usimnunie then utajionea mwenyewe...sorry for that..

Swali?
Halikupenda kama wewe au kama yeye?
 
Back
Top Bottom