Mke wangu anapenda kumsifia jirani yetu

Mke wangu anapenda kumsifia jirani yetu

Ni njia ya kukufanya ushtuke uwe na wivu wa kimaendeleo.
Changamka umzidi jirani.
Inategemea,maana hapa kunaweza kukawa na yote la kutaka kumchangamsha mume wake atafute pesa au tayari ameonja utamu wa jirani,sasa anashindwa kujizuia,siunajua mkuu,Mapenzi Kikohozi.
 
Back
Top Bottom