Mkumba Vana
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 416
- 124
Tatizo umelisema ni kila akipika ndio issue ilipo! HAPENDI KUPIKA HUYO, ila kwaa kuulaaaa; hajambo!!!
Je, una kawaida ya kumsifia kwamba yuajua kupika? (Japo ni wachache wanaojua kupika siku hizi)
Tuache yote ila ukweli ni kwamba kununa/kukasirika bila sababu za kueleweka ni kati ya sifa muhimu za baadhi ya wake zetu