Mke wangu ananitesa kwa hili

huyo ana mchepuko sio bure, huo ukali ni ili usimfuatilie. Mke wangu alikuwa hivo hivo nikazinduka, kufanya utafiti nikagundua ana mtu ten ni mtu wake zamani, na alikuwa anamtaka warudiane aachane na mimi na akajitahidi kwa hali na mali ili tuachane kwani anadai maamuzi aliyochukua pindi walipokosana yalikuwa ni ya haraka mno kuolewa na mtu mwingine. Hivo alimuahidi kuwa yupo tayari kurudiana hivyo afanye visa vya kila aina.
 
Humridhishi.
umenifurahisha Dada yangu
Mimi ninaye Mke wa hivyo AKINUNA NI BALAA hata umsimamie na ukucha wa gumba kwenye TENDEGU
yeye ananunua tu na kukaza meno
Dawa ya watu hawa ni kutoka na kukaa mbali michezoni au kwenye starehe mpaka usiku
km mna mtoto /watoto ni kutoka nao na yeye kumuacha atajurekebisha akijiona mpweke
Mwana Mnyonge km Mkeo yupo kwenye 25-28yrs atakuwa na msongo wa mawazo hasa kutoka kwao walivyomlea
  • huenda alilelewa na Mama wa kambo au kwa kufanyishwa kazi sana
  • huenda alijipangia mume wa ngazi ya juu serikalini (mwenye pesa km escrow)
Kuna siku atatulia baada ya kufikisha watoto wawili mpaka wa3
 
Pole mwaya..kuna watu wako hivyo..sasa cha kufanya jaribu kuwa unatafuta siku unatoka nae out mueleze ni jinsi gani unampenda pia try so Hard kumueleza ni jinsi gan unavyoumizwa na tabia yake hiyo...


NOTE: Je tabia hiyo kaianza toka mkiwa kwenye mahusiano ya kawaida au ni baada ya ndoa?
 
#masai dada# kashauri vizuri.. ukiongea nae then asiposema shida ni nini...
na wewe kuwa bize kidogo kama vile unampotezea.. sometimes women needs a man anaem`challenge kupata attention yake... wewe kama hum`challenge you beeing too perfect and loving all the time(sisemi usimpende)... bali mfanye na yy ahangaike kupata attention ako..otherwise if u are always there..atanunaa sanaaaa coz anajua wewe upo tuu kubembeleza...
 
Sipendi mwanamke/mtu wa hivyo anayependa kununa bila sababu.. Punguza unyonge mwana Mnyonge na punguza hizo care uone itakuaje

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkeo ana "gubu" kukaa na watu wa hivo ni shughuli akijiskia kununa muda wowote ananuna...
dawa yake: akijifanya bubu we kuwa kiziwi ndio unampenda ila fanya hivo umpe dawa, akiamka kanuna nawe nuna usimsemeshe, jifanye unawapigia simu washkaji "oya mpo wapi nije nipo nipo home nimeboreka" kama huwa hutoki home toka siku hiyo kakae hata nyuma ya nyumba tu uchelewe kurudi....kwa amsha amsha za hivo atacheka mwenyewe tu akinuna tena fanya hivo hivo ataacha.

hii tiba akiiweza tatizo lina kwisha. kwani mmezaa watoylto?
 
Habari za usiku ndugu zangu

Mke wangu anapenda sana kukasirika bila sababu za msingi, hivi hii inaweza sababishwa na kitu gani?


asante bt mapenzi siyo mepesi kama unavyozani onyesha uanaume wako hapo

Nimekuwa namshauri kila siku kubadilika kuacha kuwa na hasira haelewi nisaidieni ndugu zangu kuna kipindi nawaza labda kuna mtu anampa kiburi na labda ni mjamzito lakini hakuna, naampa kila kitu kuanzia cha kula cha usiku hadi matumizi ya kwake ya muhimu, nimeamua hadi kumwabia atafute mfanya kazi wa ndani kumamsaidia kazi sababu kuna kipindi hata kupika anakuwa na hasira kwani akimaliza kupika mnakula na hakuna stori inafikia kipindi sipendi apike sababu naona akipika anakasirika.

Nampenda sana mke wangu lakini nateseka sana.

Nahitaji sana awe na furaha but kwake ni tatizo.




unajua kila jambo linasababu yake unaweza kukuta huko nyuma kaumizwa sana kuhusu hayo mapenzi na pia nunaweza kukuta kuna swala linamsumbua wanawake wanapenda ukarimu kubembelezwa umjali kwa maneno matamu embu siku toka naye nenda sehemu ya mbali kidogo mkae muongee umuulize nn shida kwa upole ikishindikana waambie wazazi juu ya hilo swala
 
umesema unampa na chakula cha usiku, je hata wakati anapata cha usiku huwa ananuna? je anakupa kwa hiyari yake?
 
Pole mwaya..kuna watu wako hivyo..sasa cha kufanya jaribu kuwa unatafuta siku unatoka nae out mueleze ni jinsi gani unampenda pia try so Hard kumueleza ni jinsi gan unavyoumizwa na tabia yake hiyo...


NOTE: Je tabia hiyo kaianza toka mkiwa kwenye mahusiano ya kawaida au ni baada ya ndoa?

thanks ndugu ilikuwa baada ya ndoa
 
Mkeo ana "gubu" kukaa na watu wa hivo ni shughuli akijiskia kununa muda wowote ananuna...
dawa yake: akijifanya bubu we kuwa kiziwi ndio unampenda ila fanya hivo umpe dawa, akiamka kanuna nawe nuna usimsemeshe, jifanye unawapigia simu washkaji "oya mpo wapi nije nipo nipo home nimeboreka" kama huwa hutoki home toka siku hiyo kakae hata nyuma ya nyumba tu uchelewe kurudi....kwa amsha amsha za hivo atacheka mwenyewe tu akinuna tena fanya hivo hivo ataacha.

Very interesting....
 
[JFMP3][/JFMP3]
Nampenda sana mke wangu lakini nateseka sana.

Nahitaji sana awe na furaha but kwake ni tatizo.

Kama wewe condition zote za hapo home umeridhika nazo. Basi shida iko kwa mkeo. Na don't ever think ur a not in it too!
1) Kama hakuna kabisa kinachomfanya awe hivyo, Basi ana matatizo ya kisaikolojia aliyoyakusanya over time through her life. Inajumlisha ndani ya ya kurithi vilevile. Tafuta kumjua kiundani zaidi ikiwezekana chunguza watu wa kwao. KIsha utafute namna ya kumchukulia vile alivyo huku ukimwelewesha taratibu ili hayo mambo yakianza ajitahidi kujizuia

2) Inawezekana kabisa kuna anachokosa maishani. Try to find it!
 
BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi
Wanaume Ishini na wake zenu
kwa AKILI" Mungu alikuwa
anajua anachosema.Kama huna
akili Mwanamke atakukoroga
maisha yako yote na utaishia
kusema "Women are so
Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu
'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa
vinamaanisha 'Vitu Vigumu
Ajabu'
Wanawake wanaweza
kukwambia "Mi nataka
Mwanaume anipende tu
BHAASSS!!Ukidhani kwamba
Upendo wako unatosha kwake
UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na
vyote VIENDE KWA PAMOJA
(Perpendicularly),vitu hivyo ni
1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING
MAN 4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua
"Kukaza vizuri" mwanamke
anatosheka,na wana hela ila
WAKO BUSY...Hii factor ya
wewe kuwa Busy tu itamfanya
mtu mwingine mwenye Muda
"Amkaze kiulaini kabisa" halafu
wewe utashangaa..."Mke wangu
nampa kila kitu,hela za kila kitu
nampa..YES,Amekaa muda
mrefu uko bize unasaka hela na
adui namba 1 wa Mwanamke ni
LONELINESS....
A lonely Woman can easily be
trapped by anyone..hata
Houseboy akimpa ATTENTION
endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako
peke yako???Fuata kanuni ya
KIBIBLIA, ishi nae kwa
akili....Mpe MUDA..Mpe
HELA...Mpe Kisago
kitandani...Mpe CARE na
ATTENTION
Sikiliza maneno ya Nabii Seth
uyatendee kazi,maana TB
JOSHUA hatakwambia haya
KAMWE!Nimemaliza!
 
Back
Top Bottom