Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Hahahaaaa hatari
Ahahhaa lazima ubishe yaan nitaumia tu mwenyewe moyoni mambo ya kumsema mtu kwa stts sijui nieleze vipiii unamsema ili iweje kama hiyo mke wa huyu jaman anamsema mume wake wa ndoa mwisho wa siku wanajifunika shuka moja ndio ninii sasa
Ahahhaa lazima ubishe yaan nitaumia tu mwenyewe moyoni mambo ya kumsema mtu kwa stts sijui nieleze vipiii unamsema ili iweje kama hiyo mke wa huyu jaman anamsema mume wake wa ndoa mwisho wa siku wanajifunika shuka moja ndio ninii sasa
Neno linalokuhusu unalijua tu...ww huwekagi status?!
Siweki status wala profile fotos. Nina picha moja imekaa miaka 3, ya mnyama.
Halafu cha ajabu huwa sioni status za watu wengine kiurahisi. Ama basi I never notice them. Plus, sijuagi kujistukia aisee. Mie kauzu ukinifumbia utajichosha mwenyewe.
Ulimuokota wapi? Huyo huwezi kuwa ulimtoa kwenye familia yenye wazazi (hata kama hupondwi wewe) otherwise siku uliyomuoa wazazi wake walifanya sherehe ya ziada.Wazee kwa vijana
wadada kwa wamama.
Jina la bwana lihimidiwe!
Kwa muda mrefu sana hili jambo huwa linatokea baadae linapotea kisha linajirudia tena!
Huyu wife wangu amekuwa akirusha vijembe sana huku whatsap status! Kwa uchunguzi nimegundua kila ikitokea tumepishana kidogo kauli haipiti dakika unakuta ameweka status whatsup:
Mara "USIZARAU DAFU EMBE TUNDA LA MSIMU", siku yingine utakuta "KIKIWA NDANI CHAKO KIKITOKA SIO CHAKO"
LIMEKUSHINDA LIMAO UNAFATA NDIMU"
"WE NI KONOKONO KAMA KONOKONO WENGINE"
"UKITAKA HALUA KUNDU PANUA"
Hizo baadhi ya vijembe ambavyo moja kwa moja najua vinanihusu mimi ni zaidi ya hapo nishamkanya kama anaona tofauti yoyote anieleze kuliko kuanika huko ili kila mtu ajue tumekosana lakini hasikii!
Nikaanza kufikiria niwe namjibu lakini haitakuwa fresh kidume kurushiana maneno mitandaoni. Yaani hata akinipigia simu bahati mbaya sijapokea nikija kuingia tu whatsapp nakuta "MBUZI KUWA NA NDEVU SIO NDIO UANAUME" au "MWANAUME BUKTA".
Kiukweli huwa inanikosesha amani maana kila nikimweleza polepole hanielewi hembu nisaidieni mawazo nifanyaje!
Hehehe kwenda zako
Ngumu kukubali eeh? Kama ambavyo mie siamini kuwa vijembe vinakuhusu, nahisi unajistukia tu.
Napenda sana kupiga picha (za mandhari), kuna mtu alikuwa anazoom profile zangu kila siku anataka tuzijadili. Nikaona ananichosha. Yaani nahisi anatamani kuniuliza mbona sibadilishi.
Sasa mbona huku hujaweka mandhari?!
Huku nataka kukurusha roho tu hehehe.
Tulia dawa ikolee, eboo
Sio kwa mipaja hiyo
Ufisi huo. Hapo nakurusha roho na hiyo binduki, wewe unawaza mipaja. Mipaja hata kuku anayo
Kuku ana vipaja ww
Bunduki wala siioni mm naangalia v2 muhimu tu