Mke wangu ananipa mashaka

Hii ndiyo shida ya kuvamia majini barabarani, sasa limtu linataka biashara binafsi halafu mtaji utoke kwako wewe!, huyo atakuwa amejaza maji kichwani kama siyo mtoli wa viazi na ulojolojo wa ndizi mbivu.
 
Humu tumesema sana lakini kamwe hamuelewi.

Kitendo cha kumpa hata hiyo biashara ya familia asimamie mwenyewe utakuwa umeivunja ndoa yako kwa 88%

Japo hata sasa usipompa huo mtaji ndoa itakuwa shaka shakani kwa 62%
(Makadirio ya % kulingana visa kama vyako) maana atahongwa na bwanyenye limped mtaji au limrubuni machine nawewe!


Nini cha kufanya.

Kubali kupoteza au kupata mwambie achague kulea watoto(familia) na uhakikishe hata hela ya ped anakuomba wewe.

Au umwambie kama hawezi kulea watoto mlango uko wazi kama haitamfaa aone nini kitakuwa na manufaa kwake.

Mwambie hata biashara ya familia hafai tena kuisimamia maana amepoteza sifa(mbinafisi).

Anza kufanya kama Akon kuanzia jioni hii mali zako andika watoto ama mama yako hakikisha unamiliki laki7 saba tu.

Cha mwisho na muhimu sana ACHA UJINGA mwanamke sio ndgu yako.
 
Nyie ndio mliokuwa na biashara ya solar Kariakooo au...
 
RED Flags! Shukuru MUNGU amekuonyesha mapema ya kuwa unaishi na mwanamke wa aina gani
 
Huyo huwezi badili mawazo yake kua kama yako.
Ni feminist alievamia ndoa, akipata hiyo pesa hamna rangi utaacha ona.
 
Hauna mke hapo
 
Huyo ni mshirika mwenzako kwenye kuijaza dunia (kama mna watoto.) Lakini sio mke.

Na ukijichanganya tu ukaugua hata wiki nzima bila kutoka, hakuna rangi utaacha kuona
 
mzalishe kwanza watoto 4 wanaofuatana ili akomae akili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…