UNAXEMA ASIMUACHE AKIMLETEA UKIMWI JE?ndoa ni msalaba cha muhimu ni kuvumiliana na kumtegemea Mungu sana, fanya biashara zako jiongezee kipato mbona atarudi mwenyew alafu usimuulize chochote wala usiguse simu yake we fanya tu yanayokuhusu ila msiachane atanyooka tuuu mkuu, msiachane watakaoumia ni watoto hasa wataumia kisaikolojia
nadhani hujanielewa namaanisha asimuache for the sake of watoto na asijishughulishe nae kwa lolote afanye yanayomuhusuUNAXEMA ASIMUACHE AKIMLETEA UKIMWI JE?
Hivi.....ndoa ni msalaba cha muhimu ni kuvumiliana na kumtegemea Mungu sana, fanya biashara zako jiongezee kipato mbona atarudi mwenyew alafu usimuulize chochote wala usiguse simu yake we fanya tu yanayokuhusu ila msiachane atanyooka tuuu mkuu, msiachane watakaoumia ni watoto hasa wataumia kisaikolojia
naomba unitajie kwanza huyo mwanamke ni kabila gani
He....utakua na upungufu wa nguvu za kiume.