Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

Sijawahi mkuta akifanya hayo.
Na kwa utaalamu nao fuatila simu zake,ningesha jua a to z ya chocho zake.
Maana njia nayo tumia ku trace ni ya kitaalamu sana,na deal na simu yake kupitia simu yangu.
Na naona sms na call list hata kama yuko wapi,pia hata picha nikitaka simu inampiga na natumiwa hapohapo.
Yeye anajua nime deal na makampuni ya simu.
IT tu.
Hii ina madhara maana nitashuhudia mengi sana labda atafute namba mpya na simu mpya na hiyo simu asinipe nikaigusa ...
Tufundshe na ss basi mkuu
 
Yeye aliyechoka ndio aondoke.

Sema mkuu inabidi umchape hata makofi mawili kumuweka sawa.
 
Mpotezee anza kufanya mambo yako wala usimuulize chochote wala kushiriki naye chochote akichoka atahama mwenyewe ila kuwa makini mwanamke akifika level hizo anaweza kukua kwa sumu au akakutaftia watu wakuue
 
Si uondoke tu bro.... Me nikipata kama huyo nahisi ntaishi kwa amani kabisa, chkua begi lako ukaanze maisha mapya
 
Ameshakuwa pasua kichwa huyo..Nwei kama nyuma hakuwa hivyo basi jaribu kuchunguza sababu ya hayo mabadiliko ni nn..Watu wengine wakikerwa uwa hawaongei..Wanachofanya ni kulirevenge kimyakimya..Uende ww pia ndo chanzo cha yeye kubadilika..
Naomba tuachane.
 
DA,NDOA ZA MWENDOKASI

tumeshirikiana tumejenga nyumba. Leo hii ananitaka niondoke,ninuache na watoto.Nikaanze maisha kimpango wangu.
Naambiwa kuwa anayaweza maisha bila hata ya uwepo wangu.
Nahisi kuna marafiki amewapata wana mshauri vibaya.

Naombeni ushauri.
Da! inauma sana. Pole mkuu.
 
DA,NDOA ZA MWENDOKASI

Mke wangu tuna miaka 10 toka tuoane. Kipato changu na chache hakitofautini sana, ni muda sasa tupo kwenye mgogoro wa kindoa. Kubwa ni kwamba ananifanyia vituko ili tuachane. Nimesha zikamata SMS za mapenzi za wanaume wengine kweye simu yake, nikimuuliza ananijibu alikuwa anatongozwa tu. Nimeshagombana nae sana, nimesha peleka mashtaka kwa watu wazima watusuluishe lakini habadiliki.Last week pia karudia na nimemkuta tena na sms za wanaume za kuitana honey, darling, love nimemuuliza, tumeishia kulumbana na ananijibu nimuache, nichukue 50 zangu. Nimewaita watu wazima wa karibu na familia yangu, tumeyajadili nikijua ataacha, tulipo baki wa 2 akanijibu nisimfuatilie mambo yake. Nimezaa nae watoto 2, tumeshirikiana tumejenga nyumba. Leo hii ananitaka niondoke,ninuache na watoto.Nikaanze maisha kimpango wangu.
Naambiwa kuwa anayaweza maisha bila hata ya uwepo wangu.
Nahisi kuna marafiki amewapata wana mshauri vibaya.

Naombeni ushauri.
MAJI YAKIZIDI UNGA INAKUWAJE??????
 
Pole sana ndugu yangu. Maisha ya ndoa yana mambo mengi. Je unawajibika ipasavyo katika majukumu ya siku kwa siku kwa familia? Maana wengine hamsemi ukweli inawezekana wewe ndiyo chanzo cha matatizo yote hayo. Mwanamke hawezi kukuambia umwache wakati anajua mchango wako katika ndoa. Pengine hiyo nyumba mmechangia kujenga au ulimkuta na kiwanja. Au hivyo kachoka kukubeba.

Jitafakari kwanza katika haya niliyokuuliza.
 
hapa ndipo unatakiwa ujifunze kwanini mfalme selemani alimwomba Mungu ampe Hekima.

Katika ali kama hii yakupasa utumie hekima kuliko nguvu na hasira.

Ni pepo mbayatu kaivamia ndoa yako ndugu. Mwombe Mungu Akuongoze na kukupa hekima ya kurudisha upendo kwa ndoa yako na Amani.

Pili:
jiamini na usimpe shetani nafasi kwa kuingiza matango pori yake kwenye ndoa yako.

Jikaze kiume simama imara uiokoe ndoa yako Never Give Up Bro.
 
Pole sana ndugu yangu. Maisha ya ndoa yana mambo mengi. Je unawajibika ipasavyo katika majukumu ya siku kwa siku kwa familia? Maana wengine hamsemi ukweli inawezekana wewe ndiyo chanzo cha matatizo yote hayo. Mwanamke hawezi kukuambia umwache wakati anajua mchango wako katika ndoa. Pengine hiyo nyumba mmechangia kujenga au ulimkuta na kiwanja, hivyo kachoka kukubeba.

Jitafakari kwanza katika haya niliyokuuliza.
 
Mi nadhan umezidisha upole hivyo kakupanda kichwani! Hebu mtandike mingumi kila akosapo uone! Tafuta kimchepuko upoze roho! Usimguse, usile apikacho ukitoka job uwe bize na watoto tu! Fanya mambo yako kimpango wako usimshirikishe! Naamin nazi haishindani na jiwe! Nyie ndio vichwa sisi ni shingo!
 
Kwanza pole alafu jua kwamba wanawake wengi wapo ivyo ingawa si wote chamsingi fanya yako watoto si unao ww unataka akupende kwani mama yako uyo usimfatilie fanya yako na akidai taraka mpe ingawa umemzoea
 
DA,NDOA ZA MWENDOKASI

Mke wangu tuna miaka 10 toka tuoane. Kipato changu na chache hakitofautini sana, ni muda sasa tupo kwenye mgogoro wa kindoa. Kubwa ni kwamba ananifanyia vituko ili tuachane. Nimesha zikamata SMS za mapenzi za wanaume wengine kweye simu yake, nikimuuliza ananijibu alikuwa anatongozwa tu. Nimeshagombana nae sana, nimesha peleka mashtaka kwa watu wazima watusuluishe lakini habadiliki.Last week pia karudia na nimemkuta tena na sms za wanaume za kuitana honey, darling, love nimemuuliza, tumeishia kulumbana na ananijibu nimuache, nichukue 50 zangu. Nimewaita watu wazima wa karibu na familia yangu, tumeyajadili nikijua ataacha, tulipo baki wa 2 akanijibu nisimfuatilie mambo yake. Nimezaa nae watoto 2, tumeshirikiana tumejenga nyumba. Leo hii ananitaka niondoke,ninuache na watoto.Nikaanze maisha kimpango wangu.
Naambiwa kuwa anayaweza maisha bila hata ya uwepo wangu.
Nahisi kuna marafiki amewapata wana mshauri vibaya.

Naombeni ushauri.
hakuna ndoa tena hapo, labda UPATE BAHATI YA KUTEULIWA WA RAIS, ndo atarudisha majeshi nyuma.
 
Hatimaye yule mwanamke nimemfumania live leo guest akifanya yake na yule yule Baba niliye kuwa namhisi na sms zake.
Nimefikia maamuzi ya kumuacha rasmi na kumuachia kila kitu.
Taondoka na nguo zangu na vyeti vyangu vya taaluma baaas.
Kweli ndoa ni msalaba,leo nimeamini...
...
 
Ndoa ngumu hasa kama mke mwema hujapatiwa
 
Back
Top Bottom