Mke wangu anagubu na pepo wa mauti

Mke wangu anagubu na pepo wa mauti

swala la kupigana halina maana kukaa na kujadiliana kujua tatizo limeanzia wapi nakutafuta suluhisho kama la kila mmoja ashike njia yake
 
jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya kwanza tuligombana kidogo tu kachukua kisu kanichoma nacho kwenye bega la kushoto na jana karudia ujinga wake karusha glass nikaikwepa sasa next time nitampa kinabo kitakatifu maana nafikiri kumwambia sitanyanyua mkono wangu kumpiga basi imekuwa silaa yake nitamfundisha adabu na heshima.

Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums

mkuu pole sana ;kwanza pole maana wengine yalitushinda;;sasa basi umesema pepo utapgnaje na ppepo ndugu;unajua alipo;unajua nduguzake;msaada tu ndoa yako soln n maombi;na haya yatambadilisha tu kutegemea na wewe utakavyokuwa karibu na mungu ukirudi umelewa wote mnakuwa mapepo mnaishia kuchapana glass pepo alitoki kwa ngumi jaulize nguruwe waliokimbilia baharini
 
sielewi maana ya ndoa na sitakaa nikaijua! imekua uwanja wa ngumi tena! achaneni kistaarabu na si kwa ngumi wala visu! nimeipenda avatar yako!

ahahahahhahahahhahhaah na hiv unapata two in one!
af vyote ndo ugonnjwa wako!
 
Your avatar say it all...you got problems 'upstairs', deal with them...acha kulia lia hapa JF ka kubwa jinga!
 
Violence ni mbaya sana ndugu yangu, usimpige mkeo though shez aggresive, itakucost cuz unaweza muumiza kuliko ulivyotarajia! Kama unadhani ni pepo, endea maombi na mkamate sana Mungu atakusaidia, kama haambiliki peleka kwao kwa mda wakamfunde! Mkeo anatoka kanda maalum nini? It Reminds me engineers wawili mke na majirani zangu yeye alikuwa mume anazipiga na mkewe mbaya kabisa kama evanda na taison mpaka mmoja alipovunjwa mkono wakapelekana police ndo wakabadilika! But msifike huko bhana, its embarass..
 
hah ha ha ha..ukimtoa meno niite nije muone alivyokuwa...maana mtu mzima alafu ukose meno mdomoni haha haah ha..ukiambia sema sasa!! unasema thatha hahha..cant wait...
 
Huyo mkeo kawa mkenya anaepiga mumewe? uliyaachia sana hayo hayakuanza leo naona hayo, mweleze kua wewe na mume na hakuna mapenzi yakupigana visu wala class wala vikombe,watu hupigana mabusu mwambie,na ukinuna zaidi akuvulie nguo sio kukupiga visu! akaa ebu mpeleke wakamfundishe mwanamke hawi hivyo alivyo yeye,atapata mtu
akuliwaze umkimbie halafu atafute mchawi wake...
 
ndoa sio lazima mpigane, mwaweza kukaa na kujadiliana mkishirikisha wanafamilia....
 
Mmmmh,hii ni kitu gani mkuu?
King Jr!au wife anafikiri kuna watu wanakula hii kitu!!
avatar17171_3.gif
 
Last edited by a moderator:
Dah! pole mkuu,

aliyekuambia kipigo sio moja katika njia ya kumuonya mtu kakudanganya sana!

Ingawa sio busara kumpiga mtu mzima na hasa mpenzio, lakini inapobidi hakuna jinsi, muhimu ni kuhakikisha unamuonyesha uwezo wa kumpiga unao ila tu huwa unamuacha kwa sababu unampenda na unamjali, otherwise mpige tena kipigo cha nguvu ili akikumbuke milele sharti usimtoe alama usoni (wenyewe wanaita reception)
 
sielewi maana ya ndoa na sitakaa nikaijua! imekua uwanja wa ngumi tena! achaneni kistaarabu na si kwa ngumi wala visu! nimeipenda avatar yako!
yaani nilijua usipo comment juu ya avatar basi sio wewe.
Pole kwake kwa kupata mume mwenye kuweza kuweka avatar kama hiyo uliyoiweka
umenivunja mbavu Gaijin but ukweli mume ambaye anaweza kuweka avatar kama hii jua kabisa sio mume. Mume lazima aweni mtu aayeweza kutunza heshima mbele za watu hata wasiomjua, pia ni mtu ambaye kwake heshima hutangulia na wala hailazimishwi huja yenyewe.

nionavyo mm huyu mleta mada analazimisha heshima ilihali mkewe haoni amuheshimu kwasababu gani. mpaka mwanaume ameheshimiwa ndani kwake jua kwamba kuna efforts amefanya za kujiheshimu na kuheshimu wenzie kwanza.
 
Last edited by a moderator:
we kama vipi mpeleke
kwao akakae kidogo
atajirekebisha kwa aibu
wala usitumie nguvu nyingi!nauli tu!

 
sielewi maana ya ndoa na sitakaa nikaijua! imekua uwanja wa ngumi tena! achaneni kistaarabu na si kwa ngumi wala visu! nimeipenda avatar yako!

kwema mke mwenza nimesharudi mpenzi!
hiyo avatar na mimi imenifikirisha sana! mweh! watu wana visa jamani!:yo:

mamiii sipati picha eti ni mume wa mtu huyu khaaaaaaa!
ee Mungu nakushukuru kwakua haya uliniepushia mm na wale wa karibu yangu yaani cacico na snowhite
 
Last edited by a moderator:
Jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya kwanza tuligombana kidogo tu kachukua kisu kanichoma nacho kwenye bega la kushoto na jana karudia ujinga wake karusha glass nikaikwepa sasa next time nitampa kinabo kitakatifu maana nafikiri kumwambia sitanyanyua mkono wangu kumpiga basi imekuwa silaa yake nitamfundisha adabu na heshima.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

hyo ni shida ya rohoni, ukiishughulikia kimwili si kwamba utafeli tu, ila pia itakugarimu maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom