Jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya kwanza tuligombana kidogo tu kachukua kisu kanichoma nacho kwenye bega la kushoto na jana karudia ujinga wake karusha glass nikaikwepa sasa next time nitampa kinabo kitakatifu maana nafikiri kumwambia sitanyanyua mkono wangu kumpiga basi imekuwa silaa yake nitamfundisha adabu na heshima.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hapo kwenye red tafadhali,Kama mlishapitia kwenye njia zote za usuluhishi zikashindikana basi mpe taraka, maana siku hizi binadamu wengi uhai wao hupo kama spea za mchina ukimgusa kidogo tu Mungu anampenda zaidi
hapo kwenye red,Pole mkuu kwa kuoa kisirani.Ina maana hukuzigundua tabia zake wakati wa uchumba?Au ulimbwende wake ulikuchanganya?Sasa inabidi uwe mafia zaidi yake ndo akili itamkaa sawa make sure unampa makofi ya nguvu sana mpaka azimie.Tahadhari:Usimpige kichwani.
Ahahahah..mkuu ushawahi kuotewa nini.Kupigana kunaleta adabu wakati mwingine.Mashavuni sawa ila kichwani(kwenye ubongo) hapana.hapo kwenye red,
hayo makofi atayapiga kwenye masaburi?
raha ya makofi shavuni ndo yanakolea!!!!!
ila kupigana sio issue, akikuotea itakula kwako