Mke wangu anagubu na pepo la mauti

Mke wangu anagubu na pepo la mauti

King Jr

Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
47
Reaction score
8
Tangu juzi nimepoteza kabisa mapenzi kwa mke wangu kutokana na matatizo yake na sitaki hata kuongea na kwani bado nina hasira sana na yeye naisi nikiongea naye atanijibu kitu kibaya nikafanya maamuzi mabaya sana kwake naombeni ushauri wenu kwa hili jamani.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
avatar yako inanitia mashaka kama ni mkeo mwenye matatizo naona huenda wewe ndo mwenye matatizo hebu ibadilishe huenda tabia ikabadilika.
 
Hiyo avarter yako tu ina matusi mengi, na ni halali uachwe Mwanaizaya wee
Kutuwekea kitimoto chenye kichwa cha ....................... ashakum
 
Kwani si tulishakushauri? Haukuridhika? Una matatizo wewe sio bure

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/417052-mke-wangu-anagubu-na-pepo-wa-mauti-2.html#post5910418
 
Back
Top Bottom