Mke wangu anagubu na pepo wa mauti

Mke wangu anagubu na pepo wa mauti

Mwanamke usipo mtandika anakukalia mkichwa
sikubaliani na ww kabisa. kupiga sio kufundisha mkuu. mwambie akae nae na wayazungumze ikishindikana awaonee wazee au aendee kwa viongozi wa dini. huyo mwanamke sio kichaaa wa kusema asitambue lipi baya na lipi zuri.
tumesikiliza story ya upande mmoja hivyo hatuwezi jua maumivu ya mwanamke. kuishi na mwanaume ni mtihani jamaniiiii
 
mamiii sipati picha eti ni mume wa mtu huyu khaaaaaaa!
ee Mungu nakushukuru kwakua haya uliniepushia mm na wale wa karibu yangu yaani cacico na snowhite

na kweli mwali!
hii zahma hii nayo ni ya kuiita mume!
af nna umbea wa mujhini nahis kama utanipalia muda si mrefu
 
Duh huyo mwanamke anajiamini nn mpaka anainua mkono wake na kukupiga? embu jiulize
 
Jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya kwanza tuligombana kidogo tu kachukua kisu kanichoma nacho kwenye bega la kushoto na jana karudia ujinga wake karusha glass nikaikwepa sasa next time nitampa kinabo kitakatifu maana nafikiri kumwambia sitanyanyua mkono wangu kumpiga basi imekuwa silaa yake nitamfundisha adabu na heshima.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kaka,

Umfundishe "adabu na heshima" wewe KAMA NANI?

Badala ya kuita viongozi wa dini, waje wawafanyie maombi hapo kwenu, hao mapepo waondolewe (nasema VIONGOZI wa dini, sio WALOKOLE.... usinielewe vibaya, hata Kanisa Katoliki linafanya maombi hayo), wewe wataka kumpiga?

Huoni kwamba ndio KWANZA unakoleza moto unaowaka kwa kuumwagia mafuta ya PETROLI?

Shetani kawaingilia. Kishakupandisha hasira. Sasa na wewe wapandisha hasira. Unamsahau Mungu. Wadhani hiyo ndiyo dawa? Nashukuru umeuleta hapa huu ujumbe wako, tukushauri, kwani bado hujapotea. Mshukuru Mungu kwa hilo. MLAANI SHETANI!

Nakutakia Mafanikio Mema, mdumu kwenye ndoa yenu. Si wewe peke yako mwenye matatizo kama hayo. Shetani keshawateka watu wengi sana! Mapepo wake wako busy kila mahala, wanafanya heka heka.

Nitakukumbuka kwenye sala zangu!

Kaeni kwa amani!

Amina!
 
Usimhukumu usikute yuko mwezin au ana mimba si bureee aiseee

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
ww mwenyewe unajieleza ulivyo kama avator yko,ndo maana unataka kuchomwa kisu na mkeo na usipokuwa makini atakuua kweli,first impression kwangu ni hiyo avator uloweka
 
Mke ni wako, wala usijaribu kumgusa, we kauka tu na mitkasi zako.... atajirudi mwenyewe... ila angalia hizo knives .......... nje kuonja haikatazwi... eat & run.... usigande.....
 
Jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya kwanza tuligombana kidogo tu kachukua kisu kanichoma nacho kwenye bega la kushoto na jana karudia ujinga wake karusha glass nikaikwepa sasa next time nitampa kinabo kitakatifu maana nafikiri kumwambia sitanyanyua mkono wangu kumpiga basi imekuwa silaa yake nitamfundisha adabu na heshima.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
. Chief pole sana kwa hii level ya kuchomwa kisu hii ni hatari sana aisee,hapo kuna murder case either siku mtagombana umsababishie u mauti au atakuvizia siku aweke sumu kwenye chakula........chief in hatari siamini ktk kutengana kwa wanandoa lakini kwa hili la kuchomw kisu na kurushiwa glass it's too much,sioni option tofauti na kutengNa ............kwa kuanzia hayo Bi dada mngepeana likizo kwa muda,kwenye ndoa ugomvi hutokeaga lakini huu ugomvi armed kabisa in hatari....mfalme wa mbingu na ardhiawasaidie
 
Pole kwake kwa kupata mume mwenye kuweza kuweka avatar kama hiyo uliyoiweka

ndo maana analalamika mkewe anagubu wakati yeye ndo anaweka mali ya mkewe nje nje. ajichunguze kwanza.
 
pole sana mana hata biblia inatambua kuna wake wa hivyo zaburi 21:19, 27:15-16 na zaburi 31:10-31
Jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya kwanza tuligombana kidogo tu kachukua kisu kanichoma nacho kwenye bega la kushoto na jana karudia ujinga wake karusha glass nikaikwepa sasa next time nitampa kinabo kitakatifu maana nafikiri kumwambia sitanyanyua mkono wangu kumpiga basi imekuwa silaa yake nitamfundisha adabu na heshima.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sio lazima kubaki katika ndoa inayonuka kifo.

Get professional help, or get out of that marriage.
 
Sikubaliani kabisa na violence kwenye ndoa kwa sababu yoyote ile. Weka mguu chini. Kaa nae na uongee nae in a serioud tone. Muamvie hana ruhusa ya kukupiga wala kukurushia hata mto (pillow) unless mko kitandani ama unacheza kimapenzi! Muambie next time ikitokea utakuwa mwisho kabisa wa mahusiano yenu hata kama hautaondoka kwa haraka. Na ikitokea kweli umtie adabu (ningekuwa mimi ndo wewe ningempeleka polisi akalale walau siku tatu, liwalo na liwe). Usimpige; utajiharibia rekodi yako nzuri na kukufanya ushuke chini kwenye level yake.
Naungana na wewe .polisi ndo kiboko yake.pale kuna dawati
 
Jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya kwanza tuligombana kidogo tu kachukua kisu kanichoma nacho kwenye bega la kushoto na jana karudia ujinga wake karusha glass nikaikwepa sasa next time nitampa kinabo kitakatifu maana nafikiri kumwambia sitanyanyua mkono wangu kumpiga basi imekuwa silaa yake nitamfundisha adabu na heshima.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Hayatuhusu. This is your private business.
 
King Jr!au wife anafikiri kuna watu wanakula hii kitu!!
avatar17171_3.gif

ahaa!ahaa!ahaaa! Jf never Bored kiukweli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom