Mke wangu anachunguza mno simu yangu

Mke wangu anachunguza mno simu yangu

Kwahiyo Kipindi unafungua simu yako yeye huwa Yuko Pembeni anakutazama Tu unavyochora Password yako?...Kwanini usiweke ya kidole au Sura ili basi tuone kama atakuvizia umelala achukue kidole chako aweke au akikate kabisa, Sura ndio kabisa hatoboi labda akupokonye simu, Yaani kama mmefikia huko sasa nahisi mnaishi kichawi Sana...Ni aibu na ujinga Tu kuanza kukimbizana na mambo ya password za simu, mnaishi Kwa kuviziana kama wauza madawa ya kulevya....
Thats not a big deal. Issue ni kwamba nakosa kabisa uhuru na simu. Yaani sijui ni anaoteshwa na malaika au ni jini? Haischukui siku mbili tayari password ashaijua. Naweza hata kuweka ya sura ila kwanini anichimbe kwenye simu yangu?
 
Mkuu unachopitia ndio nachopitia kwa sasa.

Nilikua badili sana password lkn anazijua.

Nikahisi labda nahackiwa .

Mbinu yake ya kujua Password.

Nikiwa natumia simu, anaweza kua Yuko pemben, ANAJIFANYA ANACHAT, KUMBE AMEWEKA KAMERA YA SIMU YAKE.

Hizi simu za Iphone, Samsung, Google pixel, Zina ZOOOM SANA.

Kwahiyo wakati ambao Mimi naona ni Safe, yeye anazoom mpaka meseji, anajua passwords .

Nikilala au nikiwa Bafuni, Anachukua simu ana piga screenshots Kila kitu .

Tumegombana sana, lkn Mwisho nimegundua ANANIPENDA NA NI MWENYE WIVU SANA .

Kuna siku nikamwambia MKE wangu, wewe ni Pisi Kali sana, Nisamehee kwa kukuweka roho juu juu.

Ukweli ni kwamba, SISI WANAUME, TUNAPOCHEPUKAZ KUNA WAKATI TUNACHEPUKA NA KUJISAHAU KABISAAA KIASI KWAMBA, WAKE ZETU WANAKUA CURIOUS SANA KUTAKA KUJUA, KUNA NINI NYIMA YETU
Vipi wewe ulilimalizaje mkuu. Hebu nipe mbinu asee.
 
Mkuuu wee acha, Kuna siku kaenda kwao, kafika huko, kanitumia Screenshots zaidi ya 100 Mimi nikichat na Micheps aiseeee nilihisi mwili umepigwa shot .

Yaan ilikua Kila Passwords nazoweka katika Mafile, lazima ajue .
Wewe hatuchekani kaka,,🤣🤣
 
Sure bro kama ni stroke anaweza kupata kwa kweli kwa sababu huyu mwanamke kama kunipenda nahisi ananipenda. Ila hii tabia ya kuchunguza simu, asee siipendi, ananikera mno.
Nenda nae taratibu ......utamuumiza upate shida zaidii
 
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Kwani una biashara/magendo gani za kumficha mkeo?
Ondoa passwords simu usiifiche fiche mwache awe huru nayo, ataona kawaida.
 
Well said brother lakini tukubali kabisa kuwa si kila kitu tunashea na wake zetu. Wewe mkeo unamweleza kila kitu? Huna hata jambo moja ambalo hapaswi kujua?
Atleast baadhi ya masuala ya kazi ambayo ni sensitive hapaswi kujua. Lakini siyo masuala ya familia yako ya asili, nk. Nini maana halisi sasa ya kuwa mwili mmoja huku kila mtu ndani ya nyumba ana siri zake lukuki moyoni!
 
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Mbona simple tu,

ingia settings, kuna option inaruhusu, simu ikiwa imezima, ukichomeka chaji inawaka automatically bila kubonyeza button ya on/off.

Ukisha seti hapo, ng'oa button ya on/off, kisha option pekee ya kutoa lock iwe finger print

Mambo ya password na dogo pattern 😄 unaachana nayo.

Ukifika usiku, kama una tatizo la kulala fofofo unakipaka kidole chako mafuta mgando unalala fofofo.

Lakini mwanaume kama mwanaume hutakiwi kulala kizembe mpaka mtu anakushika mkono hujastuka.
 
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Hivi hii ndo wanitaga gubu au.?
 
Thats not a big deal. Issue ni kwamba nakosa kabisa uhuru na simu. Yaani sijui ni anaoteshwa na malaika au ni jini? Haischukui siku mbili tayari password ashaijua. Naweza hata kuweka ya sura ila kwanini anichimbe kwenye simu yangu?
Hili swali muulize mkeo ndo ana majibu,toa password kwenye cm muache aipekue mpaka achoke ila kuwa na cm na line nyingine kwaajili ya mambo ya kifamilia pia pekua yakwake
 
Inaonekana umeoa msomi. Mbaya zaidi mtu kama huyo akiamua kukuchit haachi alama mpaka uje kugundua too late
Mwanamke anaejua hadi kurestore deleted convo huyo ni balaa. Huyu wangu anajua kuangalia zilizopo tu ila nyingine hajui.
 
Mwanamke afanye yote ila sio kuanza kuwasiliana na watu aliochukua namba kwenye simu yangu. Kuna MP mmoja alifanya hivyo nikajua kesho yake nikampiga chini kabaki kulia lia hadi kesho.
 
Back
Top Bottom