MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,314
- 25,454
Kaishia kuniaga kuwa 72 hours to come hatakuwa hapa tenaAlikuwa anataka kuniingiza mkenge huyo dogo! Muwe mnawatoza hawa vijana fine kakaake!😒
Kaishia kuniaga kuwa 72 hours to come hatakuwa hapa tenaAlikuwa anataka kuniingiza mkenge huyo dogo! Muwe mnawatoza hawa vijana fine kakaake!😒
Nimetoa ushauri endapo mtu hapendi kufuatiliwa..sasa kama una IQ kubwa ka smartphone tu ndio kababaishe furaha na amani ya ndoa yako?
Eti kwani hii simu yake?🤣
Amuue halafu atatombar nini? Mikono yake? 😀😀Muue
Akawasalimie na akakazane na shule kwanza, mengine atayakuta tu asiharakie maisha😅Kaishia kuniaga kuwa 72 hours to come hatakuwa hapa tena
dawa ya watu wenye tabia hiyo ni kuwapa zaidi kama anachunguza simu yako kisiri siri wew ukifika tu nyumban mpe simu mwambie hiyi hapa simu chunguza na mim nipoSema hiyo tabia huwa inakata sana! Omba isikutokee tu!
Wala hawajali, nilishawahi kuwa na mtu yani message ikiingia tu simu inarukiwa kama mpira wa basketi! Alikuwa anakagua messages zote picha zote, platforms zote! Kama mleta mada tu, ila ss huyu wangu alikuwa kiboko! Alikuwa akiona tu na marafiki wamechangamka changamka anakaa chini anablock marafiki zangu ana unfollow, atafuta namba zao, namba za kiume zote haijalishi nani zitafutwa zote! Calls zinakagauliwa moja moja mpaka dk tulizoongea, yani tunaongea nini! Hataki hata uzoee jirani, sijui ukie da dukani au gengeni hakuna hta kucheka na muuza genge, nunua rudi ndani! Yani ni miaka zaidi ya mitano tulishaachana lakini kila mwaka ndio nagundua fulani kablockiwa mwaka huu! Nilipoteza marafiki wengi connection yani kiufupi nilijikuta naanza upya! Ila ni tabia za narcists hizi!dawa ya watu wenye tabia hiyo ni kuwapa zaidi kama anachunguza simu yako kisiri siri wew ukifika tu nyumban mpe simu mwambie hiyi hapa simu chunguza na mim nipo
Bad influence.Muue
Mnaficha nini kwenye simu zenu?Sema hiyo tabia huwa inakata sana! Omba isikutokee tu!
Sio ujuaji.Pole sana ila kama umeoa gen Z from 1997 kuja mbele hiyo khali huwezi ibadilisha wale ni wabishi na wajuaji sana
aisee mie nashindwa sana kuelewa yaani mwanamke namlisha namvalisha na ata chupi yake na nunua mie alafu ashindwe sikiliza amri yangu...aisee huyo anarudi kwao chap kwa haraka sitaki ujinga ndani ya nyumba. ebu wach ufala mwanawane huyo wewe mzabue ngumi aje azindukie hospital ndio ataelewaJamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.
Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.
Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.
Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
wapenda ngono bwana utawajua tuuMnaficha nini kwenye simu zenu?
porn videos?
NdioMnaficha nini kwenye simu zenu?
porn videos?
Ushauri mbaya! Kijana wangu anatabia za kushauri watu hivi, siku kamshauri jirani yetu ampige mke wake kisa alikuwa anamfuata mpaka kazini anamziria mtoto anaondoka, akamwambia mimi huwa nampiga mke wangu na we mchape kidogo tu atakuheshimu, kaka wa watu tunashangaa kesho hafungui ofisi, kumbe kafuata ushauri, kamtandika mkewe kelebu hilo kazima! Mbona alilala kituoni! Sio ushauri mzuri wengine wabovu unajikuta una kesi ngumu! Mwache akague akichoka akachemshie soup anywe!aisee mie nashindwa sana kuelewa yaani mwanamke namlisha namvalisha na ata chupi yake na nunua mie alafu ashindwe sikiliza amri yangu...aisee huyo anarudi kwao chap kwa haraka sitaki ujinga ndani ya nyumba. ebu wach ufala mwanawane huyo wewe mzabue ngumi aje azindukie hospital ndio ataelewa
sasa akikuweka ndani sii ndio ndoa imekwisha hapo vizuri kabisaUshauri mbaya! Kijana wangu anatabia za kushauri watu hivi, siku kamshauri jirani yetu ampige mke wake kisa alikuwa anamfuata mpaka kazini anamziria mtoto anaondoka, akamwambia mimi huwa nampiga mke wangu na we mchape kidogo tu atakuheshimu, kaka wa watu tunashangaa kesho hafungui ofisi, kumbe kafuata ushauri, kamtandika mkewe kelebu hilo kazima! Mbona alilala kituoni! Sio ushauri mzuri wengine wabovu unajikuta una kesi ngumu! Mwache akague akichoka alachemshie soup anywe!
Kheeh!😱sasa akikuweka ndani sii ndio ndoa imekwisha hapo vizuri kabisa
yaanai mkeo akuweke ndani kwa kipogo ambacho amekitafuta yeye mwenyewe, bro huyo ni wakufukuza kabisaKheeh!😱
pole sana ni kweli ni tabia za narcists sababu ya yote ni mtu kutojiamin yeye mwenyew na anashidwa kuamin na wengineWala hawajali, nilishawahi kuwa na mtu yani message ikiingia tu simu inarukiwa kama mpira wa basketi! Alikuwa anakagua messages zote picha zote, platforms zote! Kama mleta mada tu, ila ss huyu wangu alikuwa kiboko! Alikuwa akiona tu na marafiki wamechangamka changamka anakaa chini anablock marafiki zangu ana unfollow, atafuta namba zao, namba za kiume zote haijalishi nani zitafutwa zote! Calls zinakagauliwa moja moja mpaka dk tulizoongea, yani tunaongea nini! Hataki hata uzoee jirani, sijui ukie da dukani au gengeni hakuna hta kucheka na muuza genge, nunua rudi ndani! Yani ni miaka zaidi ya mitano tulishaachana lakini kila mwaka ndio nagundua fulani kablockiwa mwaka huu! Nilipoteza marafiki wengi connection yani kiufupi nilijikuta naanza upya! Ila ni tabia za narcists hizi!
Sasa mkuu utafukuza wangapi? Kukosea kupo tu! Ndoa maana yake kuvumiliana unafikiri ni kwenye sherehe huko?yaanai mkeo akuweke ndani kwa kipogo ambacho amekitafuta yeye mwenyewe, bro huyo ni wakufukuza kabisa