Mke wangu anachunguza mno simu yangu

Mke wangu anachunguza mno simu yangu

Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Weka biometric passwords kama face ID au fingerprint kwenye simu Yako hakikisha mara zote ukiwa nae unatumia hizo sio password za kuandika
 
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Mmh.. kwanza pole sana kaka kwa hilo hata mimi niliwahi kukutana na mwanamke wa hivyo ilifika hatua nikaweka password kila Shemu nikitaka kufungua simu kama nipo naye nilikuwa natumia finger print najua hiyo hawezi kuitumia na namba za mabinti wasumbufu nilizisave majina ya kiume ili tu asijue hilo ndolikawa suluhisho vitu muhimu ni kuhifadhi kwenye app ya calculator ...
 
Back
Top Bottom