Mke wangu anachunguza mno simu yangu

Mke wangu anachunguza mno simu yangu

Tumia biometrics hasa face ID kwenye iPhone..
Kuna setting ipo hawezi ifungua hata ukiwa umelala..
wanaume wa dar bana?🤣

yaani kasimu tu ndio kanavuruga furaha na amani ya ndoa yenu?

Na unamshauri kabisa mwanaume mwenzako, namna ya kukwepa kufuatiliwa na mkewe kwenye simu? Huko si ndio kuzidisha mafarakano zaidi kwenye ndoa?

msikaribishe kasmartphone nyumbani kwenu ili kavuruge na kuvunja ndoa yenu, unless hako kasmartphone ndiko kalikowaunganisha mkawa wana ndoa.

sio mmekutana kwenye workshops, makongamano, semina n.k, mkazungumza, mkapendana, mkawa wachumba na hatimae wana ndoa, halafu eti from no where mnamkaribisha huyo smartphone kwenye ndoa yenu ili awavuruge na kuwatenganisha.

That's very useless šŸ’
 
Kwahiyo Kipindi unafungua simu yako yeye huwa Yuko Pembeni anakutazama Tu unavyochora Password yako?...Kwanini usiweke ya kidole au Sura ili basi tuone kama atakuvizia umelala achukue kidole chako aweke au akikate kabisa, Sura ndio kabisa hatoboi labda akupokonye simu, Yaani kama mmefikia huko sasa nahisi mnaishi kichawi Sana...Ni aibu na ujinga Tu kuanza kukimbizana na mambo ya password za simu, mnaishi Kwa kuviziana kama wauza madawa ya kulevya....
 
mkiwa bize kulea si ndio kutakua hakuna muda wa kufuatiliana na kuchunguliana simu gentleman?

au wew unataka kufuatiliwa na mkeo?
hana wajibu ataachaje kukufuatilia sasa kwa mfano?

mzalishe watoto wa kutosha,
wew piga kazi za kutafuta mahitaji ya watoto na familia kwa ujumla na yeye awe bize na malezi, na hapo utakua umeisolve changamoto ya kufuatiliwa kisayansi kabisa šŸ’
Mimi siwezi kufuatiliwa..

Buku 7 unayolipwa kutoka Lumumba inakutosha kulea hao watoto? au una kazi nyingine..
 
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Kifupi wewe mwamba siyo mwaminifu! Labda na wewe huwa unachunguza ya kwake? Wakati mnafunga ndoa si mliambiwa nyie ni mwili mmoja?
 
wanaume wa dar bana?🤣

yaani kasimu tu ndio kanavuruga furaha na amani ya ndoa yenu?

Na unamshauri kabisa mwanaume mwenzako, namna ya kukwepa kufuatiliwa na mkewe kwenye simu? Huko si ndio kuzidisha mafarakano zaidi kwenye ndoa?

msikaribishe kasmartphone nyumbani kwenu ili kavuruge na kuvunja ndoa yenu, unless hako kasmartphone ndiko kalikowaunganisha mkawa wana ndoa.

sio mmekutana kwenye workshops, makongamano, semina n.k, mkazungumza, mkapendana, mkawa wachumba na hatimae wana ndoa, halafu eti from no where mnamkaribisha huyo smartphone kwenye ndoa yenu ili awavuruge na kuwatenganisha.

That's very useless šŸ’
Simu yangu ama yake?
We itakuwa pia huwa unakagua simu ya mmeo akiwa amelala, sasa unakasirika kuona natoa madini namna ya kuzuia hilo tatizo..

Pole sana.. usiwe unafuatilia simu ya mmeo..
 
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Mvumilie
 
Inaonekana umeoa msomi. Mbaya zaidi mtu kama huyo akiamua kukuchit haachi alama mpaka uje kugundua too late
Anahisi jinsi anavyocheat yeye basi na mumewe anacheat hivyo hivyo.

Kaa rada mkuu wenye wivu mkubwa wengi ni washenzi sana, anataka uamini anakupenda sana kumbe ile kukufatilia sana anakufanya wewe usimfatilie sana.
 
Yaani kwa kifupi nipo uchi.
Kila siku mnaambiwa hauko tayari kuoa kaa pembeni endelea na maisha yako ,sasa mkeo kujua siri zako unasema uko uchi ,kwani huyo ni mkeo au hawala ?

Vipi chumbani unalala na nguo maana tusiri twa nduguzo kukuomba hela na kumsemeleq mkeo leo tupo wazi unajiona uchi like serious ?

sina cha kukushauri labda useme sio mkeo nikupe mbinu ila kama ni mkeo basi punguza makando kando yako ,huyo ni wa kufa na kuzikana umetakq au haujataka
 
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.

Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.

Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.

Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Unaishi na Jini
 
Simu yangu ama yake?
We itakuwa pia huwa unakagua simu ya mmeo akiwa amelala, sasa unakasirika kuona natoa madini namna ya kuzuia hilo tatizo..

Pole sana.. usiwe unafuatilia simu ya mmeo..
wanaposema ndoa sio lelemama ni vizuri kuelewa jambo hili kwa uzito na umuhimu unaostahili,

otherwise ubinafsi wa aina hiyo, mathalani wa kuingia kwenye ndoa na perception ya kwamba eti hii ni simu yangu au yake, hutainjoy ndoa gentleman 🤣

ndoa hiyo itakua kama Russian na Ukraine tu daily šŸ’
 
Back
Top Bottom