ApiaSinaga vilishaungana kitambo vimekuwa whole moja!
ApiaSinaga vilishaungana kitambo vimekuwa whole moja!
Kabisa!Apia
SawaKabisa!
Sula la kutokuwa busy linaweza kuwa sababu kabisa kwa maana yupo tu home na watoto ila kwenye kumtia mimba za mfululizo ntakuwa najiumiza mwenyewe.Gentleman,
inaonekana hana wajibu wa kumkeep bize,
anahitaji jukumu maalumu,
na kwa wanaume kamili,
katika kuondoa hali hiyo ya kusumbuana kifamilia,
huwa tunafululiza watoto wawili chap chap waliokaribiana sana kuzaliwa, ili hatimae yeye awe bize na malezi na wew bize kutafuta mahitaji.
CM unaweza kuiacha mezani sebuleni hata wiki nzima hawezi kuigusa.
hatua hii hufanyika kimkakati kimyakimya kwa mapenzi mazito sana 🐒
Usifanye hivyo mkuu! Ukamuumize mkeo kwa sababu ya wanawake wa nje?Ni kama umeisoma akili yangu. Natamani nitoe kabisa password simu iwe wazi alafu nianze sasa kuchat na wanawake waziwazi. Nikirudi namuwekea mezani aangalie kama ITV.
Mke ni rafiki yako, mwandani wako, msiri wako, familia yako, nk. Ndivyo hivyo hivyo inavyotakiwa kwa mwanamke dhidi ya mume wake. Mapasword ni ya nini kwenye simu? Huoni kwa kitendo cha nyinyi kuishi na hizo password za simu ni kiashiria kimojawapo cha kukosa kuaminiana baina yenu? Kwa nini msiwe na maisha ya uwazi! No passwords, no secrets.Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.
Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.
Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.
Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Utamuua.....usifanye hivyo ! Huyo alipofikia hajiamini ....ukimpiga tukio atapata stroke huko.....itakuwa shida zaidi kwako.....nenda nae taratibu....kama unaweza mpige mimba awe busy au mtafutie shughuli awe busy but pia usimuache free sana maana akigundua kitu atakulipizia kisasi kwa kugawa nje....hatari sana akienda nje na stress .....ataanza kuhonga huko.....Ni kama umeisoma akili yangu. Natamani nitoe kabisa password simu iwe wazi alafu nianze sasa kuchat na wanawake waziwazi. Nikirudi namuwekea mezani aangalie kama ITV.
Atatafuta mwingineAmuue halafu atatombar nini? Mikono yake? 😀😀
kwahy akipata mwingine wa hivyo aue si atamaliza weng kwa kuua?Atatafuta mwingine
Fresh tu who cares atajijua yeye na watu wakekwahy akipata mwingine wa hivyo aue si atamaliza weng kwa kuua?
Je kama anatumia TecnoTumia biometrics hasa face ID kwenye iPhone..
Kuna setting ipo hawezi ifungua hata ukiwa umelala..
kila mtu anajali mambo yake huenda watu wake wanaweza kuwa ndug zakoFresh tu who cares atajijua yeye na watu wake