Mke wangu anachekesha kweli kwa kununa

Mke wangu anachekesha kweli kwa kununa

This is the best “ uzi tayari” uzi i have ever read. Can’t remember the last time I laughed this hard.

Mpashie mishikaki shemu mkuu, umlishe, asikiae njaa sana.
 
Mi wa kwangu amenuna na mdomo wa chini wiki ya 3 sasa adi mmeamua nitafute katoto ka alifu 2 kaendelee kunitoa siteresi ndogho ndogho😀😀😀
 
Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi

Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣

Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti

Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna

Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii

WANAWAKE SIKU HIZI MNAPENDA KUOANA SIJUI KWA NINI. TENA WEWE UMEOLEWA NA MWANAMKE MWENZIO UKIWA BADO MDOGO SANA. AKILI ZA KITOTO NADHANI MWILI TU LABDA UNA MATAKO MAKUBWA NA MAZIWA NA TUMBO. KICHWANI EMPTY.
 
Wewe ndio mwanamke kwa haya maneno yako ya mipasho
 
Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi

Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣

Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti

Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna

Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
siku akijamba uje utuambie
 
No one is coming to save you

EXCEPT FROM GOD

So stop sharing your problems with ANYONE but Him.
 
Analytical ni kweli unaonekana mtu mzima mjinga,utatombewa kabla ya Oktoba
 
Back
Top Bottom