Mke wangu anachekesha kweli kwa kununa

Mke wangu anachekesha kweli kwa kununa

Sasa hayo ndio mapenzi..na mtadumu
Huwajui wanawake wewe, hiyo kaifungia kwenye vault moyoni kabisaaa, ngoja siku akishakamilisha mipango yake atake kusepa, hilo nalo litasomwa kwenye waraka kuwa "nanyanyaswa na kuwa abused kihisia kiasi cha kuhatarisha afya yangu ya akili". Subiri tu. Hawasahau kitu hawa ndugu zetu 😂
 
Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi

Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣

Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti

Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna

Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Una uhakika gani kama amekununia wewe je kama kamkumbuka Ex wake?
 
Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi

Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣

Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti

Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna

Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
Huyo ni fala,acha kumtania atajiua
 
Masihara katika ndoa sio mazuri. Uonapo mwenzio kakasirika kutokana na kumsema, basi mwombe msamaha na uonyeshe usoni na moyoni kweli umejutia.

Rudi tena tafuta zawadi nyingine na umwombe msamaha kwa dhati. Hiyo mishkaki anajua unamchora tu, kwamba ale ili anenepe.
 
Back
Top Bottom