GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,723
- 18,152
"Wewe ni kubwa lakini jinga"
Mke wa kubwa jing
Mke wa kubwa jing
Ni kweli unajua haituhusu ila umetuhadithia hivyo hivyo tu... Ilimradi tu yani...🤣🤣.Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi
Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣
Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti
Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna
Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
Betina njoo huku wanakusema!Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi
Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣
Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti
Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna
Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
🤣🤣🤣Wewe na Mkeo,wote mmekutana Pipa na Mfuniko.
Mimi ameniambia hivyo leo mara ya pili lakini sijamnunia mpaka sasahiviKuna lugha ya kutumia unapotaka kutoa kasoro ya mwenzako,hiyo lugha uliyoitumia kwake,ana haki ya kukwambia wewe ni kubwa ila ni mjinga.
yesiii huo huo wa watoto, usikose uji mezani.Ule wa watoto?