Mke wangu ana VVU

Cha msingi mjali hata kama utamuacha pia jaribu kuwa nae karibu sana ili usimdhaishe
 
duh, the only conclusion i have drawn from this post is that you are a sick, pathetic,, deluded and psychotic s.o.b!!
hapo evidence based arguments kwenye post yako ziko wapi? kwa utafiti upi?

mkuyati og una uelewa kidogo kuhusu sayansi hii?Umejiandaa kuelewa au umejiandaa kupinga?Naogopa nisije kupoteza muda kukuelewesha.Matusi kwangu si tatizo na hayawezi kunikatisha tamaa katika safari yangu ya kuwaokoa wengine kutoka kwenye kifungo hiki cha muda mrefu ambacho chanzo chake ni ukosefu wa uelewa wa sayansi na akili isiyopenda kujiongeza miongoni mwa watu.
Je unataka evidence za aina gani nikupe?Sasa hivi nakupa evidence ya scientific papers/proofs hapo chini,na wewe kama unazo scientific papers/proof kupinga hizi zangu lete hapa ubaoni wenye akili walinganishe na uhalisia.Nashukuru kwa kuchangia.

1.HIV hasababishi AIDS
2.ARVs ndio husababisha AIDs kwa kuua DNA
3.HIV/AIDS hauambukizwi kwa kufanya sex/ngono isiyo salama.
4.HIV haui T-Cells(CD4) mwilini
5.Mgonjwa yeyote aliyedhoofika(mwenye UKIMWI) ambaye hatumii ARVs lazima kutakuwa na ugonjwa unaofahamika ambao una tiba na anapona kabisa kama atatibiwa vizuri mfano;TB,Pneumonia,Dibetes nk.
6.Vipimo vyote vya HIV havipimi HIV menyewe kwa muonekano bali hupima antibodies against certain proteins believed to come from HIV BUT THESE PROTEINS ARE NOT SPECIFIC TO HIV itself.

EVIDENCE:
 

Attachments



Heshima Kwako mkuu:

Mtu anatakiwa kupinga hoja kwa hoja si hoja kwa matusi; ndio ukomavu wa fikra. Kuhusu tafiti za sayansi na dawa , naweza kusema muamerika ana siri nyingi sana kuhusu tafiti na matumizi ya dawa. Ikumbukwe kuwa sekta ya madawa inaingiza US$300 billion kwa mwaka (WHO data 2015 ); Kiasi hiki ni sawa na fungu zima la welfare kwenye bajeti ya marekani mwaka 2014 ; welfara inayojumisha social protection, family issues, unemployment etc) imetengewa USD Bilion 300 na ushee. Sasa turudi nyuma, kwa inteligensia za wenzetu lazima wahakikishe revenue zinaendelea kwa kiasi kikubwa. Na madawa hasa ya magonjwa yaliyojengewa hofu ndio moja ya silaha zao. Kuna makala moja ilichapishwa na profesor wa Havard, Prof Bill George "Do drug companies make drugs or money" ndani ya hoja zake ni kuwa makampuni haya yamekengeuka katika tafiti za kutibu wanadamu na kuhakikisha kuwa dawa wanazotengeneza zinaleta utegemezi wa kudumu kwa watumiaji? Imagine madawa ya malaria yanavyobadilishwa? Je ni kweli Malaria Parasite "Plasmodium" ameevolve that fast na kila miaka miwili anajenga resistance? Sijui ; Ila ukikutana na mtu aliyegundulika kuwa na HIV virus akaishi kwa lishe bora na positive lifestyle vesrus anayetumia ARV utaniambia.

Kikubwa haya makampuni yana continuity strategy kupitia vyombo vya habari kuwa tafiti zimesema ARV ni proven etc --- ila the agenda ni "Depend and Buy this for the rest of your miserable life" --Wengi watabisha ila napenda kuwashauri kujisomea na kufanya judgement yao binafsi. Niliwahi kuishi Ujerumani kwa muda na kuna muafrika mwenzetu aliugua sana na baada ya kupima akagundulika ana virus vya HIV . Kwa kuwa pale kulikwa na teaching hospital basi walimuomba kuwa sehemu ya matibabu yake itatumika kama teaching. To cut the long story short, ni kuwa yule muafrika mwenzetu aliundergo a series of treatment (hasa kuwa exposed kwenye clean oxygen muda mwingi); na mmoja wa professor wa ile hosp alimwambia "dont worry , U will have HIV virus but u'll never be sick or suffer from it until you do , and I want u to stop those tablets--alikuwa na vi-ARV vyake from Afrika), Ninavyoandia hapa ni mwaka wa sita sasa yule ndugu alirudi kwao, hajawahi kutumia dawa tena na hajawahi kupata ugonjwa nyemelezi zaidi ya normal issues kama kichwa , etc ambavyo mimi na wewe tunapata. Nina mawasiliano naye ya karibu na yupo fit
The bottom line is wenzetu wanajua wanachokifanya , na pale walikuwa na agenda kwa wanafunzi wao wa pharmacy&Medicine juu ya matumuzi ya ARV luckily imekuwa to the advantage ya mwenzetu.

Haya makampuni yana ushawishi mkubwa kwa watunga sera na wakuu wa nchi sitachelea kuamini kuwa proposal za kubadili dawa zinakuwa influenced na hawa. Tafuta moja ya makala zilizoleak kwenye mtandao wa wikileaks "How Big pharma squeeze from dirt poor countries" humo anaeleza hata HIV drugs ni moja ya mbinu za kunyonya watu na kuhakikisha unakuwa tegemezi miaka yote. Kama unapenda kusoma zaidi nunua kitabu amazon "Deadly Medicines and Organized crime: How big pharma has corrupted health care" Nitanakili sentesi moja from that book "The main reason we take so many drugs is that drug companies don't sell drugs, they sell lies about drugs. This is what makes drugs so different from anything else in life...Virtually everything we know about drugs is what the companies have chosen to tell us and our doctors"

Ushauri wangu kwa mwenye mada mwenyewe ni apime uzito wa jambo, akae na mwenzake aelewe ni kwa nini mwenzie alificha ukweli (pengine ni hizi hizi threat za media na phobia ya HIV) , na apate ushauri kwa watu wenye busara anaowaamini na mwisho asikilize nafsi yake na kufanya maamuzi thabiti. Kukimbilia kuacha, kulaumu hakutamfanya afahamu sababu, Afanye hivyo baada ya kujua ukweli na si kukurupuka.
 
tatizo hapo siyo vvu ni roho mbaya ya mtu kuwa na vvu halafu humwambii mwenzako ni usaliti wa hali ya juu hata hivyo ngono zembe siyo kutotumia kondom peke yake bali hata kutoandaana vyema wakati wa tendo.
 
Na ingekua wewe ndio umekutwa nao? na yeye akusanye akuache... !!! haijakukuta hivyo huwezi kujua cha kufanya, yakikukuta ndio utajua unakusanya vitu au unabaki na mwenzio uliyeapa kwa shida na raha...
nimejarb kuvaa kiatu chake bt nimeshindwa

sijaua kwetu....nakusanya kilicho changu narudi kwetu sijaua
 
Na ingekua wewe ndio umekutwa nao? na yeye akusanye akuache... !!! haijakukuta hivyo huwezi kujua cha kufanya, yakikukuta ndio utajua unakusanya vitu au unabaki na mwenzio uliyeapa kwa shida na raha...


Mkuki kwa nguruwe mtamu....kwa bin'adam......!
Japo kweli its scary...tuache masihara...!
 
Kinyau
Great observation buddy. I've really gained something after reading your comment. I ought to read more articles to enlighten my knowledge...!
 
Last edited by a moderator:
Hapa nimepata elimu kidogo kuhusu AIDS na HIV...
Mkuu uliepatwa na mkasa huu muombe Mungu akupe maamuz yaliyo sahii
 

Mkuu Kinyau Nashukuru sana kwa kuanika mambo ambayo umekutana nayo wewe mwenyewe na umeona kwa macho yako kuliko kuambiwa.Unaonekana una uelewa mkubwa wa mambo haya.Hili ndilo jambo ninalolihangaikia mimi ili wengine wapate kufahamu ukweli huu na waweze kujikomboa kutoka kwenye utumwa huu hatari.
Kitu kinachoniumiza kichwa ni kwamba watu wanaotoa comments zao wengi wanaonekana ku-bypass maelezo kama haya sielewi ni kwa nini,inaweza kuwa ni uvivu wa kusoma au kasumba mbaya au ujinga.Ndio maana bado wanang'ang'ania kumshauri jamaa mleta mada mambo yasiyo na msingi bila kujielewa.
Sijui kwanini sisi ni wajinga kiasi hiki.
 
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana
Mmegombana mna siku ngapi?Maana naona kaamua kukukomesha kweli, huo mchezo anaokuchezea haki ya mama umemkosea jambo kubwa sana!Kaeni chini myamalize kwa amani!Hizo dawa anakuzuga tu, na kaziacha uzione makusudi ili uumie roho!
 
Ndugu pole sna kwa majanga hayo yaliyokukuta. Ushauri wangu kwako ni huu kwanza ni kuwashitaki Mkeo na Madokta wake kwa uongo mkubwa kiasi hicho. Pili maamuzi ya ndoa ni juu yako wewe mwenyewe kuachana naye au kuendelea kuishi naye.
 
kamshtaki yeye ,hospital na huyo mpimaji,then hama hapo haraka sana
 

mwenye uelewa na aelewe ukweli huu, ila hakuna wa kubisha hapa, drugs its all about business always
 
duh, the only conclusion i have drawn from this post is that you are a sick, pathetic,, deluded and psychotic s.o.b!!
hapo evidence based arguments kwenye post yako ziko wapi? kwa utafiti upi?

watu wengine huwa mnacoment ili muonekane mabingwa wa kubisha hapa jf, kwann ww ndo usitoe maelezo yako ya kupinga aliyosema yeye?
 

mkuu huyu jamaa alishawahi kurudia kuchek afya yake kama ndio majibu yakoje? pia swala la hizi kampun kupata faida kwenye Arvs mbona wanadai zinatolewa bure
 
mkuu huyu jamaa alishawahi kurudia kuchek afya yake kama ndio majibu yakoje? pia swala la hizi kampun kupata faida kwenye Arvs mbona wanadai zinatolewa bure

Mkuu Mr. Mangi ni kweli zinatolewa bure kwa wagonjwa lakini serikali inalipia hizo dawa.Wanachotaka pharmaceutcal industries ni pesa bila kujali nani analipa.Serikali ndio inalipa hizo dawa,ila ukiwauliza madaktari watakwambia serikali nayo inapata bure kama msaada kutoka UNO/WHO,sitashangaa daktari kusema hivyo kwa kuwa wengi hawana huu uelewa.Kwa mfano kuna daktari mmoja kule temeke amesema yeye hakubaliani na ukweli kwamba maji pia tiba.Yeye anachojua ni kwamba dawa ni kidonge au kimiminika chenye kemikali zenye sumu za kuua vijidudu unameza au unakunywa,full stop.Huwa nacheka sana.
 
acha woga wewe mbona mie nimeoa mwaka wa 8 mwanamke HIV+ tena tuna watoto wa2 na mie mzima tena nadunda. Acha UFALA NA WOGA.
 
acha woga wewe mbona mie nimeoa mwaka wa 8 mwanamke hiv+ tena tuna watoto wa2 na mie mzima tena nadunda. Acha ufala na woga.

mkuu serikali 3,heshima ni kitu cha bure na maneno km ufala na woga uliyotumia ktk comment yako sio mazuri hata kidogo.
Tupo hapa ili kupeana ushauri na njia mbadala wa nn cha kufanya kwani tatizo dogo kwako ni kubwa kwa mwngne & viceversa.
Usipende kuchangia kila thread au comment ya mchangiaj ktk mada fulani.
Naweza kuwa tayar kuish na mwenye hiv lakn wewe usiwe tayar au wewe ukawa tayari nami nisiwe tayari,naomba uwe unatumia akili ktk kufikiri but so sory km zimeshaathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…