Mke wangu ana sura mbaya

Mkuu wewe usiangalie sura ili uwafurahishe walimwengu, Cha msingi mkeo ana Chura aa. Hapo ndo mpango mzima ukimpiga mbuzi kagoma mpaka udenda unakutoka.
 
kaka mwanamke mzuri atakupa tabu mvumilie tu usiogope kutoka naye mbadilishe vile utakavyo ukipata mzuri wa sura atakutesa kila siku utasikia katongozwa huku mara kule
 
Nina mashaka mleta Uzi kipindi una andika huu uzi ulikuwa umekunywa pombe za bei ndogo.Kwani kipindi unamtongonoa huyo mkeo ulikuwa humuoni au ulilazimishwa na wazazi wako???
 
Yaan unamla 0713.. Mkeo kwa ajili tu anakupenda kweli ww kiboko ila ndo tiyari Mkeo awe na sura nzuri au mbaya
 
Ha ha ha ha , siyo jambo la kuchekesha , ila acha dhambi mungu anakuona..... Wewe sema umemchoka tu.

Dah! Story imenikumbusha mbali sana kwenye baadhi ya vitu.
 
Siku zote kuzaliwa ni mzuri au mbaya ni kitu ambacho huwez chagua, kwan ww nn kilichokuvutia kwake pindi mnaanza mahusiano au ilikuwa emergency mkafungishwa ndoa kwa kulazimishwa?
 
Haya ndio mambo ambayo mimi nayakataa.
Ikiwa mwanamume na akilizako timam, unakua na mawazo kama ya wavulana... , kwani huyo mke ulimuoa kwaajili ya maonyesho?.
Alafu inaingiaje akilini eti unapo jikweza kisa mkeo anakupa rinda... .
Agghhhh....
Kweli kadiri siku zinavyo zidi kwenda, ndipo hata maana halisi ya ndoa inakwisha
 
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Upuuzi kama huu huwa sisomi, serikali iruhusu jando na unyago viendelee zamani hayakuwepo haya
 
Back
Top Bottom