Ninajikuta namchukia mke wangu

Utajua ujui

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
249
832
Habari.

Mimi hata sielewi nimejikuta namchukia mke wangu.

Nashindwa kuelewa hali hii inasababishwa na nini?

In summarry.

Sogeza tukae kwa miaka miwili sasa na tuna mtoto mmoja.

Changamoto kubwa iliyopo.

1.Kinyongo

2.Ana weka jambo moyoni yaani ukimkosea hakuna unachokipata tena kutoka kwake na kitu kikiwa kidogo atakikuza.

3.Sio mtu wa kujiongeza,yaani kila kitu anahitaji kutoka kwako.jambo dogo linalohifaji low reasoning ila linamsumbua.

4.kauli yake tukigombana kila siku kama vipi tuachane ,niache sitashindwa kulea mtoto nadhani malezi ya SINGO MAMA YAMEMUATHIRI.

5.Kuninyima tendo ndo anajua dawa kumbe mimi ninamcheat tu na yeye ndo anasababisha.

Kiukweli nina mengi jamani ya kusema.

Moyo unauma na kuumia.

Nawafurahia wanawake wengine ila sio mke wangu
 
Ukishapata mchepuko ndio basi tena Kwa mke wako, hata Mimi kimepita kipindi hapo nyuma nilipewa mapenzi motomoto na mchepuko aaah mbona mke wangu nilimchukia ghafla, lakini nikwambie tu kuwa ukishajua Nani ni zaidi ya na ukitazama umuhimu wa mke basi hizo chuki zitaisha.

Kingine punguza mapenzi kwa mchepuko na wekeza ndani jitihada zode unazowekeza nje, maana ndani ndio msingi wako.

Mke ni mke tu kamwe mchepuko hauwezi mzidi mke.
 
Umemaliza, nilikuwa nimejiandaa kumjibu haya haya uliyoandika.
Muhimu sana kuyajenga na mkeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom