robby klax
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 283
- 122
 iyo muhimu [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1]Chura je??? Anae???
 iyo muhimu [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1]Chura je??? Anae???
0713 ni sehemu ya kunyea(kutolea haja kubwa)Mm sina cha kukushauri, ila naomb mnijuze maana ya 0713 na namba nyingine huwa mnamanisha nn?
Yaani msela kazingua vibaya mno!!!Unazingua mzee
Huyu anaye mfanyie hivi mkewe hana huruma na utu Mungu anamuona aisee hafu amekuja kumsema JF. Wanawake wenzangu kuwa makiñi hii kujifanya kutoa tigo ili kumtuliza mwanaume mwajidaganya tu na kuwafanya wawadharau tu, mijianaume ku cheat ni kawaida.Nahis anaruhusu afumuliwe marinda kwa sababu hajiamini kutokana na sura yake ilivyo labda....so anahisi akimnyima ataachika....na akiachika anahisi itakua ngum kupata mtu...so ni kama zali kapata mwanaume mwenye sura nzuri...nnavyoona...
bora umeuliza??We ni Kichaa nini? Kwani huyo mkeo ulimuoa kwenye giza? Au ulimpenda ukiwa umelewa hujitambui! Acha Ujinga ww.
Nimecheka sana hii mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha, dah watu mnawaza mbali
long time agooo iyoooNimecheka sana hii mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hyo tigo.. Kwamb jamaa hata akimuomba mke wake amsajilie line ya tigo anasajili tuMm sina cha kukushauri, ila naomb mnijuze maana ya 0713 na namba nyingine huwa mnamanisha nn?
hana lolote..ameishi nae miaka 13 leo ndo anajua ana sura mbaya!!?? ana pepo huyu. mmxiiewwwWatu Mna kufuru sana
Mwanzo ulivyomtongoza hukumuona had mimba...?
au ndo unatafuta wachuchu jf....
Chui wako milele. ..hahaha umenichekesha sana. ..haki ya Mungu. .Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
hawezi kuishi nae hivyo kama hajampenda toka moyoni. kumbuka mapenzi yanamfanya mtu amuone ampendae mzuri kushinda wote duniani..ni upendo wenye kufanya hayo.Ndio chaguo lako.chaguo la moyo na jicho lako.au alikuletea shangazi yako? Usimwangalie usoni .ishi nae kwa assumption kuwa ni malikia wa uzuri na uconcentrate na kale kakitu kalikokufanye umchukue hiyo 2003.!
kubwa la machizi..Chizii wewe unamsema vibaya ubavu wako