Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

Siku ukibadilisha overall na kuvaa suruali size yako hatazinyoa nywele.Unataka uzione nywele wakati hauzitunzi? Kwa sasa nunua super glue nenda saluni okota nywele akilala zibandike.Utakuja kunishukuru
 
Inawezekana kukata hizo nywele sio ishu kubwa ila hayo majibu yake baada ya kumuuliza kwanini amekata ndo yana ukinzani mkubwa!
Kuwa makini,kuna kitu hakiko sawa somewhere!
 
Mwambie mabaharia hatupendagi vyoote, in Mama Mgwira's voice na alitambue hilo
 
.hivi unajua kwa nini siku ya harusi bwana harusi anakuwa amenuna na bibi harusi kafurahi?? haya umeshapata jibu
 
Pole mkuu, ni kweli amekosea kutokukushirikisha

Lakini upande mwingine jitahidi kumuelewa na yeye mkuu, nywele ndefu hua zinachocha kuna muda tunahitaji kupumzisha kichwa

Na hapo unakuta style karibu zote tumemaliza hatuoni jipya tena, mwisho unaona bora uzikate upumzike then unarudi tena kufuga

Hivo mkuu kwakua nywele zinaota basi mpe muda apumzike then utamshawishi asuke tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…