Mke wangu amenitusi kwenye simu

Mke wangu amenitusi kwenye simu

Wakuu habari za kushinda

Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.

Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.

Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.

Naombeni ushauri
Kwan ni kweli we nimsenge? Kama ni kweli achana na huo usenge ila kama so kweli achana na hilo jambo endelea na maisha na mke wako
 
***** unashindwaje kumpiga mateke na mangumi hakikisha unamtengua hata mkono lazima aache kukudharau
 
Mwanamke akianza kukuletea ujinga mzalishe mfululizo.
Atashika adabu tu.
Yaani katoto kikitambaa tu mimba!
Hajakaa sawa mimba nyingine!!
Watu hawajui kuwa hii ni njia ya kuwafanya wawe na adabu kidogo. Mpe watoto wanne, ili awe anawaza mara mbili kabla ya kufanya upumbavu wake. Hako katoto kamoja anaona anaweza kukamudu kirahisi hata kama mwanamume akisepa. Ajifunze kwa akina mama zetu wa enzi hizo, watoto kuanzia sita na kuendelea na hii iliwafanya waweze kuzeeshana bila kuachana.
 
Unavuna ulichopanda wewe mwenyewe. Mwanamke anakuwa vile ambavyo wewe umemruhusu awe tangu mwanzo.
 
Wakuu habari za kushinda

Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.

Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.

Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.

Naombeni ushauri
Mkuu, lisemwalo lipo na huenda kuna uwezekano mkubwa sana kwamba huyo Mke wako anahisi unafanya mambo ya kisenge au amejua kuwa watu wanakupumulia ndiyo maana kakushauri uache usenge.

Naona hajakutukana ila kakushauri kuwa uache usenge.
 
Uyo ameshakudharauuuuuu


Tengeneza mazingira ya kurudisha heshima.

PITIA
Mahusiano yenu tangu mnapendana Kwa dhati mpaka hapo mlipofikia.
 
Back
Top Bottom