Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,574
- 235,415
Umeamua umtukane mwenzio Sasa...sijaamini macho yangu kuona unatukana.
Yaani mwanamke akikutukana jiulize Mara 2,ujitazame upya.. Yaani mwanamke akutukane tu hivihivi!???
Yaani mwanamke akikutukana jiulize Mara 2,ujitazame upya.. Yaani mwanamke akutukane tu hivihivi!???
manyoko!!! na ukomee! nyie ndio huwa mnatuonaga wapuuzi kwa yale tunayoyahubiri humu kila siku.
Acha akunyooshe, leo kakutukana kesho atakuchalaza bakora tena makalioni.. pumbafuuu
“Mwanamke hatakiwi kuwa na hela”-Wild Thought(JF Expert Member)
Nilikuwa sijaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya Saint anne pita huku usimsahau na shangazi yako Marianah