Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,617
- 22,524
Hiyo siyo hoja ya kukupa msongo bali sasa ni kufungua jicho la pili ili kufuatilia tabia halisi ya mkeo.Wakuu habari za kushinda
Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.
Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.
Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.
Naombeni ushauri
Hatujui ulivyoanzana naye, jichunguze mwenyewe pia.
Maana hiyo lugha aliyotumia ni lugha ya masela na siyo tusi, alimaanisha acha ujinga baada ya kumletea kero zako.
Saazingine mkeo ulimpata kihuni, ama yeye ni mhuni aliyejivalisha ngozi ya kondoo kutafuta ndoa na sasa kakuzoea, makucha yake yameanza kukunjuruka kwa sura halisi..... acha usenge wako...... dah! Huyo mkeo mhuni. Mrekebishe kwa msimamo usioyumba kwamba lugha za kihuni marufuku.