kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,874
- 4,161
Hebu tuambie hela ya mahari uliipata wapi mkuu? Kama ulipewa tu pesa ukaoe kubali matusi mkuu.
Wakuu habari za kushinda
Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.
Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.
Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.
Naombeni ushauri
Humkwich kwich vizuri,hebu piga maashine,mzalishe mfululizo,acha uzungu.miaka yote MNA MTOTO mmoja tu?
Atakutukana Sana ttu,wanawake hawataki uwaendeshe kisharobaro,kilokole au kiustadhat sana,mwanamke inatakiwa umdrive kijela jela,kiasi kwamba ukikohoa tu,anakuja mbio eti baba nanihii unaniita?
Badilika boss,acha uzungu,sisi waafrika