Mke wangu amenitusi kwenye simu

Mke wangu amenitusi kwenye simu

Wakati huo anakuwa kafungwa akili au? Halafu sasa unadhani unamkomoa yeye au wewe utakayetakiwa kuwahudumia wote vizuri? Yaani wanaume wa kibongo bwana
Mwanamke akianza kukuletea ujinga mzalishe mfululizo.
Atashika adabu tu.
Yaani katoto kikitambaa tu mimba!
Hajakaa sawa mimba nyingine!!
 
Umepanic enh? Relax! This is not what you think hii shughuli bado mbichi relax

And by the way mwanamke kuwa au kutokuwa na hela haihusiani na tabia yake keep that in your mind kama ni tabia yake kutukana atakutukana tu hata awe mama wa nyumbani na kama si tabia yake hawezi hata awe anakuhudumia wewe
manyoko!!! na ukomee! nyie ndio huwa mnatuonaga wapuuzi kwa yale tunayoyahubiri humu kila siku.

Acha akunyooshe, leo kakutukana kesho atakuchalaza bakora tena makalioni.. pumbafuuu

“Mwanamke hatakiwi kuwa na hela”-Wild Thought(JF Expert Member)
 
Mwanamke mwenye lugha chafu hafai, hafai kwa ustawi wa familia yako. Atawatusi hata watoto, tena yale ya via vya uzazi kabisa.

Mfundishe adabu, ni jukumu lako kumfundisha hasa kama unataka watoto wawe na adabu.
 
Hapo ndo atajirudi.
Akiona anaendeleaje na dharau zake .
Kama ana gari amchukue mke wake amwambie twende tukatembee.
Alafu ampeleke poriniii.wabaki peke Yao .
Alafu amwambie ashuke .amuache huko huko.
Akili itamkaa sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..nacheka ila kuna ktu mnaniacha,
Mmnaona watu wanasema magunia,
Ayo magunia ya nini sasa mpaka mke ashtuke?
 
Mwanamke mwenye lugha chafu hafai, hafai kwa ustawi wa familia yako. Atawatusi hata watoto, tena yale ya via vya uzazi kabisa.

Mfundishe adabu, ni jukumu lako kumfundisha hasa kama unataka watoto wawe na adabu.
Kweli 🤣🤣🤣
 
Wakuu habari za kushinda

Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.

Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.

Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.

Naombeni ushauri
Kumbe kakuambia uache usenge nilijua amesema wewe ni msenge. Msenge sio tusi bali ni neno fasaha kabisa katika lugha ya kiswahili. Tafuta kamusi.
 
Anakuwekeaga kidole kwenye shimo la taka na wewe unatulia tuli..???
Hebu nunua gunia mbili za mkaa uone kama ataendelea kukuita msenge
Duu kweli kiboko yao mkaa gunia mbili tu Wala usizidishe
 
Wakuu habari za kushinda

Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.

Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.

Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.

Naombeni ushauri
Nimebaki kucheka tuu......!!!
 
Inaonekana kabisa we jamaa kwenu ni last born, unadeka kinoma
 
Wakuu habari za kushinda

Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.

Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.

Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.

Naombeni ushauri

Kuwa makini, inaonekana kuna jamaa ambaye yeye anamuona sio msenge. Ila pia mkuu, muda wote huo mtoto mmoja tu, angekuwa anatema mate asingekuita msenge, jiongeze boss.
 
Hivi kweli hapa ndiyo tulipofikia,yaani swala dogo kama hilo unaomba ushauri jf????
Duh kweli mkuu kwa akili hii wewe ni MSENGE.
 
Hii ni kiboko
Humkwich kwich vizuri,hebu piga maashine,mzalishe mfululizo,acha uzungu.miaka yote MNA MTOTO mmoja tu?
Atakutukana Sana ttu,wanawake hawataki uwaendeshe kisharobaro,kilokole au kiustadhat sana,mwanamke inatakiwa umdrive kijela jela,kiasi kwamba ukikohoa tu,anakuja mbio eti baba nanihii unaniita?
Badilika boss,acha uzungu,sisi waafrika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom