Mke wangu amenitusi kwenye simu

Mke wangu amenitusi kwenye simu

Wakuu habari za kushinda

Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.

Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.

Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.

Naombeni ushauri
Wee mnemtukana lipi
 
Tatizo unaandika "tulioana" wakati katika utamaduni na lugha ya Kiswahili mwanamke na mwanamme hawaoani.

Mwanamme anamuoa mwanamke.

Mpaka hapo ushajiweka kiliberali zaidi lazima aku beep tu.
 
Wakuu habari za kushinda

Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.

Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara.

Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.

Naombeni ushauri
Hapo ndipo unapokwamia...

Unaoanaje na mkeo mkuu?
 
manyoko!!! na ukomee! nyie ndio huwa mnatuonaga wapuuzi kwa yale tunayoyahubiri humu kila siku.

Acha akunyooshe, leo kakutukana kesho atakuchalaza bakora tena makalioni.. pumbafuuu

“Mwanamke hatakiwi kuwa na hela”-Wild Thought(JF Expert Member)
Whaaaaaaaat???? Huu ni ubinafsi
 
Back
Top Bottom