Mke wangu amenifanya nimkinai

Hiyo michirizi tumboni inawatokea wengi sio big dili unless kama mama ni mpenda vitop na kuvaa nguo zinazoacha tumbo wazi
Kuna scars remover zinaondoa hilo tatizo lakini zina madhara ya baadae hasa cancer ya ngozi
Mwanamke naye anahangaika baada ya kugundua mume haipendi hiyo michirizi.. But wakumbuke wataendelea kuzaa na michirizi itaongezeka labda aamue kunenepa
Okay.
Kwa namna niijuavyo akili, ikishaamua kukataa kitu, tunaweza tu kumlaumu mwana..
Namshauri aonane na wataalam wa afya, wa ngozi.. Cosmetic dermatologists, naamini atasaidiwa!

Tukimtishia tu kuwa huko nje atakutana na makubwa haitomsaidia, ni old school way of solutioning!
 
Zinatoa chunusi kweli? zinaitwaje? vp bei yake?

Chunusi zinasababu tofauti tofauti Kati ya mtu na mtu

Unaweza ukatibu juu kwenye ngozi Ila kisababishi bado kipo haitakusaidia

Kwa kuanza sugulia ganda la ndizi kwenye ngozi acha dakika 5 kisha osha Na cleanser

Weka serum yako endelea na shughuli zako
 
Chepuka mkuu tena chepuka kipeo cha pili chini ya saba ila tu utapopata masahibu nguvu za kiume zikaisha akaanza nae kuchepuka usije kutulilia tutakua bize kupokea stigilasi
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Ukau
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Ndugu utu wako una walakini. Mke amekupatia mtoto! Ndio sababu ya michirizi malipo yake ni wewe kumkinai na kuchepuka! Haki neno kumkinai pia ni baya sana ulivyolitumia kwa mkeo kwa sababu hiyo! Hujachelewa kujirudi na kumuomba Mungu akusamehe kwa mawazo na nia hiyo
 
Kama hukua tayari kubeba matatizo ya mwenzio kwanini ulioa??

Mnakimbilia kuoa ilhali kuhimili mikiki mikiki ya ndoa hamuwezi.
 
upendo uvumilia, hakujichora hyo mixhrz imetokea baada ya kujifungua.

michirz tu inakuchepusha je, akipatwa na tatzo kubwaa ugonjwaa ama ukilema s utamrejesha kwao. Jaribu kuvaa kiatu chake, na ww ukipatwa na tatzo akachepuke??

muambie apake mafuta ya naz kwny michiriz, mnunulie parachuti n mazur saaana awe anapaka
 
Mkuu, kama unataka kuchepuka sababu ya michirizi tu, basi sina budi kusema ulioa ili kuhalalisha ngono.

Mkuu, kwa ushauri mdogo tu, tafuta bio-oils hua zinasaidia kwa kiasi fulani.

NB: usichepuke mkuu, pambana zaidi mpaka wife arudi katika hali sawa,na hicho ndicho kinaitwa ku-add value kwa mwenza wako.
Kama mke amepata ujauzito tumbo likatanuka, mtoto akatoka saivi anaitwa baba lakini anategemea mke a abaki na muonekano wake vilevile iyo nk changamoto kubwa ndani ya ndani ya ndoa namuonea huruma mkewe maana mume hayuko tayari kwa mabadiliko yoyote kutoka kwa mwenzie ilihali mabadiliko kayaweka yeye ili aitwe baba, mwanaume yeyote aliyeamua kuwa mume nafikiri huwa amejiandaa kwa mabadiliko yoyote kwa mwenzie yanayotokana na kuzaa maana kuna kunenepa, kutanuka, tumbo kupata michirizi, na kukubali mabadiliko hayo sio kwamba mabinti wazuri wasio kuwa na michirizi hawapo!
 
Wew itakuwa n mvulana na si mwanaume Yan umeongea utopolo Sana Kama huna ufahamu hiyo michiriz umesababisha wew na unachepukaje kwa sababu ya michiriz je angekuwa kilema sasa acha wenge behave like a man
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom