Sikushauri sana uwe na mawazo ya kuendelea nae, njia nzuri kwako ni kauchana nae 100% usonge mbele na maisha. Wanawake wapo na sio kwa umuhimu sana kuhishi nao muda wote. Cha msingi set goals zako na hakikisha zinatimia kwa asimilia zote kisha ishi maisha yako.UPDATE.
[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....
HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Wanawake bwana dah!UPDATE.

Mmmhu... Kaomba msamaha huku akiwa anatoa machozi,Mwanaume ukalainika.UPDATE.
[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....
HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Wewe ndiye Imma. Unataka EL ELYON aendelee kukutunzia mke wako?Sisi ni binadamu tumeshauriwa kusamehe kama nasi tunavyohitaji msamaha wa makosa yetu.
Ni mwanzo mzuri kama ameomba msamaha wa machozi muache aende baada ya muda karibu kujifungua kamachukue mtoto azaliwe mikononi mwako namaanisha chini ya uangalizi wako.
Lakin muonye asirudie tena maana akirudia yatakua mengine na umwambie kwamba hakunaga siri duniani siku za mwiz arobaini msisitize pia mueleze madhara ya kuchepuka hasa issue ya magonjwa.
Nasisitiza msamaha ni muhimu maana Yesu ametuamuru japo inauma lkn hakuna namna.
Akija rudia ndo red card, waswahili wanasema kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa.!
Shinda jaribu hilo kiongoz.!
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Hujamuoa kinachofanya upekenyue simu ni nini??Support point yako
Mwanaume kumendea demu ni tofauti na mwanamke kumendewa na mwanaume mwingine. Asili(nature) inaruhusu mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja wakati huohuo asili(nature) hairuhusu mwanamke kuwa na mume zaidi ya mmoja. Tangu kale katika historia ya ulimwengu huu, hakuna andiko linaonyesha kuwa, kuna wakati wanawake waliolewa na zaidi ya mume mmoja. Sheria ni msumeno haukati kotekote hasa kwenye suala la mapenzi/mahusiano/ndoa.Safi kabisa. Kabla hujafanya hivyo msikilize alichokuwa anataka kusema halafu mwambie aende zake ila tu kama nawe hujawahi mendea demu tangu umuoe vingine samehe muongee muyalize.
Mpaka hapo ndugu EL ELYON umetikisa mguu haujaanza kutembea. Kuchukua maamuzi ni suala moja na utekelezaji ni lingine. Mpaka hapo kwa taarifa ulizonazo kumhusu mkeo umeshaamua kumsamehe ila unapooza machungu ya kuchapiwa na Imma kwa kumuondoa na kumrudisha kwao bila wewe kuwa na uamuzi sahihi kichwani kwako kuwa anaenda kwao ndio jumla au kukupatia pumziko ya msongo na mawazo. Baada ya kutulia na kummiss utamrudisha. Tambua wazazi na wazee hawavunji ndoa ushauri wowote watakao kupa ni kumrudisha.UPDATE.
👉 NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....
HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA 🤔
Mwanaume kumendea demu ni tofauti na mwanamke kumendewa na mwanaume mwingine. Asili(nature) inaruhusu mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja wakati huohuo asili(nature) hairuhusu mwanamke kuwa na mume zaidi ya mmoja. Tangu kale katika historia ya ulimwengu huu, hakuna andiko linaonyesha kuwa, kuna wakati wanawake waliolewa na zaidi ya mume mmoja. Sheria ni msumeno haukati kotekote hasa kwenye suala la mapenzi/mahusiano/ndoa.Safi kabisa. Kabla hujafanya hivyo msikilize alichokuwa anataka kusema halafu mwambie aende zake ila tu kama nawe hujawahi mendea demu tangu umuoe vingine samehe muongee muyalize.
Kwani mkuu ww huna mchepuko mpaka umfatilie mkeo?
Kwa akili hizi mtalishwa limbwata saana , na mtalea watoto wasio wenu Hadi mfe ...mtabebe majukumu mazito yatakayo wapa Ugumu wa maisha ili muishi Kama mapunda.Kwanini mna oa huku hamjakomaa au kuwa tayari kuwa baba wa familia, mume na kiongozi kwa mkeo?
1.Acha kufanya mawasiliano ukijifanya wewe ndie mke, itakusaidia saana.
2.Acha kumchunguza mkeo, mke hachungwi kama mfugo.
3.Kama Kuna tatizo kwenye ndoa yako na unaona kukimbilia JF ndio utapata utatuzi jua kabisa wewe bado hujakomaa kuwa kiongozi wa familia yako.
NB. Kila ndoa inachangamoto zake, lakini kama mwanaume lazima uwe na kaba ya koo..hata kama uko kama ghost hapa JF lakini unachokifanya gizani ndio uhalisia wako. Ukiona mke amekushinda bora uhame uanze maisha mapya maana kwa kuwa hamjakomaa kiakili kuhandle matatizo ya ndoa mwishowe mtaishia kuua Wenza wenu na kujiua.
Sio dhambi kuishi peke yako.
Hata wewe kuendelea kuwa mtumwa bado kuchapiwa kupo palepale hata ukeshe unamlamba matakoAbove all kama huwezi kumuacha usimfuatilie.....hata kama ungetengeneza rules 1000000 ila kuchapiwa kuko palepale
Inawezekana hata hiyo mimba ni ya Huyo Msela.. Take care brother !!Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Why is Imma back in her life na anakiri kuwa waliachana sababu ya cheating?Kupanic kwako kumekukosesha ukweli wote. Mtu ametuma meseji, unamuuliza wewe nani; anakujibu mimi fulani. Hivi kweli kama ni watu ambao wanawasiliana kila siku, ungemuuliza yeye ni nani si lazima angeshtuka? Hadi anamuomba picha, Ina maana hana picha zake, right? What if baada ya zile chats za wasap ndiyo akaamua kumpigia mkeo?
Shida ni kwamba ulikurupuka; ungetulia nina uhakika ungepata majibu sahihi. Bila shaka ni ex wake, lakini alikuwa ex wa muda gani? What if walishaachana kitambo huko na mwanaume ndiyo amenza kumtafuta sasa hivi?
Usifuatishe mkumbo wa wanaume wa JF; humu wao wanawake hawawasumbuagi, wanafukuza tu. Usijefanya maamuzi kwa hasira na ukawa umemuonea huyo mzazi mwenzako mtarajiwa na mtoto wenu; baadaye ukaja kujuta. Punguza hasira, utapata wakati mzuri wa kudigest hili. So far sijaona ushahidi wowote kuwa mkeo amechepuka na huyo mwanaume akiwa kwenye mahusiano na wewe.