mkuu tafuta pesa katengeneze kioo kisha chunguza simu yake. ukishindwa weka track app ya kufatilia ndani y week ina record mpak sauti wewe unatulia na pc yakoWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Hahaha huyu jamaa akiendelea na huyo demu atateseka vibaya sana, malaya atato-mbwa sana[emoji23][emoji23] huyo demu anakudharau kinoma halafu anakumudu,yani ameulizajeee??? Khiiiiiii.
Katika ndoa ukifuatilia karibia 90% ya wanawake wamewasaliti waume zao wengine waume zao wanajua na wengine hawajui, kwahiyo kama unataka mwanamke ambae hachepuki au hajawai kuchepuka huwezi kuoa ndugu yangu.Sasa bro mbona unaongea nonsense huyo jamaa yako hakuowa mke huyo aliowa changudoa how come apelekwe polisi kwa kukamatwa uzinzi usiku huo huo yaani chini ya 24hrs agawe tena nyapu yaani chini ya saa 24 ameshachomekwa nyama ngumu mbili tofauti tofauti so kabisa kabisa unataka umma hapa useme huyo nae alimpenda sana huyo mwanamke?
Huyo alikuwa pimbi siyo mwanaume!
Wanaume wote tungekuwa na moyo wa kishujaa namna hii malaya wangenyookaHivi wewe jamaa unafahamu uchungu wa kugongewa? Sisi ni Wanaume tumsaidie mwezetu kumpa ushauri wenye kufaa sio suala la kusamehe mwanamke kwenye uzinifu, yaani nitomb..ewe mwanamke na ushahidi upo halafu uniletee habari za msamaha kwanza nitaanza na wewe unayeshauri msamaha kmmmk.
We jamaa una logic ya kifala sana,yaani asamehe/tusamehe kisa 90% ya wanawake ni wachepukaji? Hivi unajua maumivu ya kuishi na mwanamke ambae unajua alishawahi kukucheat? Unatoa shauri na reasons za kiboya Sana.Katika ndoa ukifuatilia karibia 90% ya wanawake wamewasaliti waume zao wengine waume zao wanajua na wengine hawajui, kwahiyo kama unataka mwanamke ambae hachepuki au hajawai kuchepuka huwezi kuoa ndugu yangu.
Kwahiyo suala la kuamua kuishi na make wako baada ya kumfumania au kuhisi anachepuka ni uamzi wa mtu mmoja mmoja itategemea hiyo mwanamke anayo nafasi gani katika familia.
mbona ww ukicheat anakusamehe? na anakuwa anajua na zile msg kaziona? ama unajikuta nani vile? kwamba ww mkamilifu hatariWe jamaa una logic ya kifala sana,yaani asamehe/tusamehe kisa 90% ya wanawake ni wachepukaji? Hivi unajua maumivu ya kuishi na mwanamke ambae unajua alishawahi kukucheat? Unatoa shauri na reasons za kiboya Sana.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
huyo mwanamke hakufai, achana naye halaka sana yaani hakufai fanya maamuzi sasa...[emoji848] Staki kumpa nafasi kumsikiliza tena kwenye hilo maana nilishampa nafasi nilipofika tu ye akadanganya ni shemeji yake kama nisingekuwa na ushahidi wa WhatsApp basi alikuwa ashanipiga chenga. Nikimpa nafasi tena atadanganya tu hapa nafikiria maamuzi tu ya kuchukua bs.
Hii tabia yenu ya usawa ndo inawafanya msiolewe na masingo maza kuzidi kuongezeka. Hivi kwenye vitabu vya dini ni wanaume au wanawake waliokua na mke au mume zaidi ya mmoja?mbona ww ukicheat anakusamehe? na anakuwa anajua na zile msg kaziona? ama unajikuta nani vile? kwamba ww mkamilifu hatari
Mbona kama hii ya zaman hv japo muandishi ni yule yule[emoji780][emoji848]Hii ni part 2
Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma. Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana kujiandaa maana nilikuwa nalala sebuleni tena chini nimetandika godoro yea alikuwa analala chumbani...www.jamiiforums.com
Pole sana jamaa, mkanye au mpe likizo ya wiki 2 ila usimwambie kwamba atarud.Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Comrade wewe kama ni Me basi hujawahi kupatwa na maumivu ya kutomb..ewa au pengine wewe ni mario kaa kimya hujuwi uchungu wa kutomb..ewa. Mwanamke akishakusaliti huyo ni nyoka ndani ya nyumba.mbona ww ukicheat anakusamehe? na anakuwa anajua na zile msg kaziona? ama unajikuta nani vile? kwamba ww mkamilifu hatari
Hiyo mimba ni yako au ya ImaNdo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Hzo ni tafsiri zako bt zpo Bible ukisoma zmeandka uzinzi zingne uasherati so we amini unavyoamini mkuu.
Tena ukute mimba siyo yako, bali ya Ima au ya mwingine 🤔Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Nakazia ✍️✍️✍️Kwanza Mkuu una Watoto wangapi umezaa nae?
Uamuzi sahihi ni kumwacha aende zake tena upesi sanaa
Majuto mjukuu, ukimchunguza sana kuku humliPole mkuu.
Kuna wimbo mmoja wa Ambwene unaitwa "nguvu ya kujua".
Ni vitu vingi hatuumii juu yake kwa sababu hatuvijui. Ila siku tukivijua maumivu yake yanaumiza sana.