Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.Kwanza Mkuu una Watoto wangapi umezaa nae?
uamuzi sahihi ni kumwacha aende zake tena upesi sanaa
Nipo makini nilishajiapiza sitapiga mwanamke kwa hasira nilizokuwa nazo jana kama ningekuwa mpigaji basi ningembonda sana jana usiku.Mkuu, kumbuka tu kuwa matukio ya kuuana hasa wanandoa na wapenzi yamekuwa mengi sana.
Kuwa makini katika maamuzi yoyote unayifikiria kufanya.
Mkuu mwache aende zake ili ujiepushe na vitu vinavyoweza kukughalimu kama ugomvi ama ulevi wa kupindukiaNdo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Fanta hivyo msije baadae mkashindwanaNdo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
🤔 Staki kumpa nafasi kumsikiliza tena kwenye hilo maana nilishampa nafasi nilipofika tu ye akadanganya ni shemeji yake kama nisingekuwa na ushahidi wa WhatsApp basi alikuwa ashanipiga chenga. Nikimpa nafasi tena atadanganya tu hapa nafikiria maamuzi tu ya kuchukua bs.Msikilize hicho anachotaka kukuambia, kisha mpe likizo akapumzike kwa Ima
Mkuu hata kama walifanya kabla ya kuishi na mimi sasa wanaendelea kuwasiliana ili iweje mbaya zaidi tena kwa siri nikiwa sipo wanapigiana simu kuna amani kweli hapo mjomba...?🤔Usipige mwanamke labda itokee una defend yourself. Huyo mwanamke siyo wako ni wajamii, maana yake una share na wenzako. Of cause sharing is caring, ila inabidi ujiridhishe matukio yao yalifanyika kabla au baada ya ndoa. Baada ya hapo fanya maamuzi magumu, ila si yale ya kuua na kujiua wewe kama yule mchizi wa mwanza.
Safi kabisa. Kabla hujafanya hivyo msikilize alichokuwa anataka kusema halafu mwambie aende zake ila tu kama nawe hujawahi mendea demu tangu umuoe vingine samehe muongee muyalize.Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Mkuu kwenye uaminifu najitahidi sana sn huko nilishahama kbs. Bt hata kama nachepuka si ticket ya mke wangu naye kujaribu kufanya hivyoSafi kabisa. Kabla hujafanya hivyo msikilize alichokuwa anataka kusema halafu mwambie aende zake ila tu kama nawe hujawahi mendea demu tangu umuoe vingine samehe muongee muyalize.
Unless kama ulimuoa akiwa na bikra zake mbili, ila hawa wanawake waliokula mileage kuna namna ya kukaa nao. Kama haja cheat wakati mkiwa kwenye ndoa tullia tu. Pengine huyo boya anasukumwa na nyege zake kutongoza mke wako na penzi hajapewa baada ya ndoa. Usifanye maamuzi ukiwa na hasira, endelea ku uncover information mpaka mwisho.Mkuu hata kama walifanya kabla ya kuishi na mimi sasa wanaendelea kuwasiliana ili iweje mbaya zaidi tena kwa siri nikiwa sipo wanapigiana simu kuna amani kweli hapo mjomba...?🤔