Mke wangu amekiri kunisaliti

Mke wangu amekiri kunisaliti

KANUNI YA KUTUBU NI
1. Kujua kosa
2. kujutia kosa
3. kuchukia kosa
KWA IYO WW MSAMEHE.NA CHA MUHMU HAPO NI KUMPOKEA YESU
 
unataka ushauriwe nn wakati umeshamsamehe??
 
Pole sana. Ushauri himu utapata wa kukuchanganya zaidi. Kaa chini tsfakari sana ufanye kile moyo wako unachoamua. Ukweli ni kwamva huyo atarudia tu awe kaxini au asiwepo. Akuwa kzn atavhukuliwa na wa huko asipokuwa kazin atachukuliwa na wauza mboga2 au wauza mitumba wanaopita nyumba kwa nyumba. Amekosa heshima na aibu vby sana. Mchepuko hlf ht kinga hakuna? Ina maana alikuwa mumewe?? Stupid idiot mijitu mingine mishipa ya aibu ilikatika toka zamani
 
Eti mara tatu, lyf style chuo huijui? Wake za watu wanajiachia utafikiri hawajaolewa.

Kama umeamua kumsamehe mmsamehe tu, but kama moyo unauma chepuka na wewe au mwambie aende kwao kwanza hadi roho iache kuuma.

Lastly piga chini. Kumbuka kuwa huyo jamaa alokuwa anatembea naye hawawezo kuachana hadi uchaguzi 2025.
 
Msamehe. Shetani alimpitia.
Ila sasa muulize kwa nini alichepuka ili ujirekebishe (mie huwa natumia akili mnayotupa tukilalama kuhusu wanaume. Tunaambiwa samehe halafu ujirekebishe kumshikilia. Labda uongeze show? )
 
mimi nakushari,
usilipe kisasi, mwachie Mungu afanye kazi yake
 
Ni kama stori ya kutunga iviii.. ila ni kwamba, ulimuoa akiwa bado mdogo na hakuwa amefanya chaguo sahihi. Ila shida zake ndo zikapelekea kukubali kuolewa mapema akijua anapunguza ugumu wa maisha na alichachungulia fursa. Ni hivi, bado ataendelea kukucheat ikiwa atapata upenyo. Na cku akipata chaguo sahihi lake atasepa huku unaugulia maumivu ya moyo na majuto. Tuliza akili nenda nae taratibu, ikiwezekana mpe ufree ili umsome vzr. Maana ukimbana utajiumiza we mwenyewe. Mpe uhuru afanye mambo yake ili palipo na ubovu upajue mapema na uchukue hatua mapema. Ukijitia kumbana sana utapoteza muda wako, utapoteza pesa, na hutakuwa na amani ya moyo maana muda wote kiroho juu kutaka kujua nn kafanya tena. Siku zote ukweli utakufwata nyuma
 
Ameshamaliza chuo na juzi post zimetoka...........kinachonipa tabu ni kuwa....akipangiwa mbali itakuaje........na je ni kweli ameamua kubadilika?...........niko panda na tulifunga ndoa ya kanisani....mimi ni mkristo.......

Kwani kanisani ndo kitu gani? Maana kanisa lenyewe linasema kwa kigezo hicho unaweza kumwacha aende zake, huyu kama alitereza mara 3 atatereza tena mara ya nne na kuendelea..
 
Napata wasiwasi kidogo, unasema ulimuoa akiwa na miaka 20 akiwa ametoka kumaliza kidato cha nne. Ina maana shule ya msingi alianza akiwa na miaka mingapi?

shule ya msingi + sekondari ni miaka 11, ukitoa toka 20. Inabaki 9. Alianza na miaka 9.
Sijui umeuliza hii kwa mantiki gani? Ila kuna mambo mengi tu yanayoweza kumfanya mtu ammalize shule akiwa amechelewa kidogo! Km vile ugonjwa, kushindwa mtihani wa darasa la nne au form II etc.
 
mke au wanawake wapo wengi, ni mama tu ndie mmoja na ukimpoteza hupati mwingine!
Nashangaa mpaka leo bado uko nae msaliti?, PIGA CHINI FASTA. wala usijiulize, hilo halinaga mjadala ila kama umezoea kulialia endelea nae akulize tena!
Kumbuka jandoni hatuendi mara mbili, otherwise wengi tungekimbia...........
 
Mleta uzi koma, ulikuwa na haraka gani kuoa? Miaka 20 si anasomeshwa na wazazi wake??? Kwaiyo ulitoa mahari? Maana mahari ni kama garama alizotumia masomoni ndo tafsiri ya haraka.

Dogo ulioa ukiwa na 26??? Pole maana nimeshindwa kujua kuwa ulikuwa mvulana au mwanaume! Tena unadanganywa kitoto eti aligongwa mara 3??? Seriously???? Utoto kazi
 
Mungu atupe ujasiri maana sijui ingekuwa ni mimi ningechukua hatua gani maana kusamehe nisingeweza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom