Mke wangu amekiri kunisaliti

Mke wangu amekiri kunisaliti

Ukweli unaouma lazima usemwe.....

Namwonea huruma mme wa mtu.
Na inaonyesha ana muona jamaa ni boya tu ingawa alilia machozi yalikua fake. Mapenzi yameisha awe makini sana huko chuoni kulikua na new bond.
 
Siku ya pili nikamwita chumbani na kumuomba aniambie ukweli ili nijue. Akakili kuwa ni kwrli akiwa chuo alikuwa na jamaa na alichepuka naye mara 3. Mwili wangu ulikufa ganzi..nililia sana.....alipiga magoti mbele yangu ni kulia sana akiniomba nimsamehe na nimpe nafasi ya mwisho...anadai aliteleza na anajutia kitendo hicho akiamini anepoteza kitu kikubwa katika penzi letu.....nafasi za kazi zimetoka na huenda akapata niko njia panda...........moyo wangu unahangaika naombeni ushauri.......[/QUOTE]

Anajutia baada ya wewe kugundua, je usingegundua kupitia huo ugonjwa aliokuambukiza angejutia? Unaweza kuchagua cha kufanya lakini matokeo huwezi kuchagua. Ila ni kosa kubwa kuchanganya ndoa na siasa.
 
Mwadada84

hadithi nzuri japo sijaimaliza ngoja niangalie vita ya wanawake na mwanaume huko dodoma kisha nitarudi kumalizia.
 
Last edited by a moderator:
Huyo bado anakula ujana kaolewa bado mdogo sana na hawezi kuacha kuchepuka. Na aliolewa na we we baada ya kuwa hana options. Hakupendi huyo anakutumia tu na lazma aje akuache.
Pole sana the more anavosoma ndo mapenzi yatakavozidi kuisha.

Duh hatariii
 
Hicho chuo ni mwaka mmoja? Mlioana 2010, then akazaa baada ya miaka 4 (maana yake ni 2014) wewe ukiwa umemaliza kujenga alienda chuo..now amemaliza...??
 
Huku.wakusaidie.kumsafisha.nanii...
 
Kosa ambalo Missus akifanya uhusiano/ndoa inakufa bila kufikiria mara mbili, ni kuruhusu jamaa mwingine aguse vitu zangu.
 
Yani unasoma hii post alafu una reflect sasa wife ndio naye analiwa.Dah bora nisijue nikijua tu sitogeuka nyuma.
 
Napata wasiwasi kidogo, unasema ulimuoa akiwa na miaka 20 akiwa ametoka kumaliza kidato cha nne. Ina maana shule ya msingi alianza akiwa na miaka mingapi?
 
Hii story hata kama ni ya kutunga ina fundisho ndani yake.Ukipata tatizo kama hili dawa yake ni hii.Muite mkeo tena mweleze unavyompenda na kumuamini na jinsi ulivyoumia kwa alichokifanya alafu mwambie umemsamehe,samehe kutoka moyoni kabisa then usimuulize tena kuhusu hilo jambo Mungu atampa majuto ndani ya nafsi yake.
Kuhusu kazi akipata mbali usikubali aende fuatilia uhamisho huyo mkeo hawezi kujiongoza mwenyewe akiwa mbali na wewe,au fungua mradi unaoendana na fani yake,akienda mbali atachepuka tena coz hadi mwanamke achepuke mara 3 lazima atakuwa hajielewi na hapo amekudanganya mara 3 zidisha mara 4 au labda kama alichepuka na watu 3 tofauti.(mtu hawezi kukiri ukweli kwa idadi ya chepuko yaani alifanya mara ngapi au na watu wangapi)Inauma lakini samehe utaona matunda yake.
 
Kosa kubwa kuingilia majukumu ya wazazi wake. Mwanamke asomeshwi.

Kwa mfano asingemsomesha, je asingemsaliti?!

Halafu kuhusu mwanamke hasomeshwi kisa kuchukua jukumu la mzazi, huyu ni mke wake sio mwanamke tu kwahio ulitegemea wazazi ndio wamsomeshe mkewe? Tena wana mtoto ambae atafaidika na elimu ya mama yake hata wakija kuachana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom