Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Mi naona siku izi wanawake hasa wa dar wanependa ivi vimchezo,... Ni kama trend ivi,
 
juzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .
Kwa hiyo na mini mtaani wanajua saizi ya jogoo langu?
 
ahahaaa mi naendaga ya mbongo movie flani yaani acha kabisa mabuzi yote na vibamia vyao vimebandikwa pale
ha hahaha me wasingenipenda me siyo muongeaji na nachagua sana cha kusema .. ndiyo maana huku jf naranduka tu mtajiju
 
Naona mzee umepewa ngogwe

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
juzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .

Duh kumbe tunatembea barabarani mnatuchora tuuu.. mnatujua nje ndani!!!!?
 
Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana na majibu aliyonipa.

Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa saloon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.

Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.

Enheeeh!!! Mchezo gani huo, embu sema kijana???
 
Back
Top Bottom