Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Huyo ni veterani wa huo mchezo,sema wewe ulikuwa hujui mkuu...!!!..
 
Kwanini usiende kumuomba huyo aliyemfundisha mkeo akuonyeshe jinsi alivo mfundisha mkeo hako kamchezo ikibidi akuelekeze kwa vitendo
 
Sasa umri alionao mkeo bado unasema kafundishwa kitu hivyo unaenda kuliamsha dude. Khaa

Wacha hizo we mwanaume jitambue na pia pambana na mkeo ambapo umuulize kaupendea nini huo mana mpaka anataka kufanyiwa huo mchezo jua ameupenda

Ni mchezo gani huo mke wa mtoa mada anautaka? Me sijaelewa Ntandaba emmyta miss chagga
 
Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha, kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana na majibu aliyonipa.

Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa salon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.

Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mtu mzima hafundishwi tabia never, huyo wako alificha tu makucha
Hivi kiapo cha ndoa kinasema mkikoseana mpeane likizo?
 
Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha, kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana na majibu aliyonipa.

Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa salon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.

Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.
Unahitaji kukua.
Mambo yako na mkeo chumbani unawezaje kuyaleta barabarani!?
Ila kwa jinsi ulivyoreact huyu dada yawezekana kabisa alitaka "akupime tezi dume kwa dildo" otherwise mwanaume usingekurupuka hivyo!
Whatever the case, bado haina mantiki kwenda kugombana na watu saloon kwa kauli za kujitetea za mkeo, unaweza kukuta mkeo ni fundi na Kuna anayofanya na minjemba kitaa na alikuwa anajaribu kuyahamishia home.
Pambana na Hali yako, be man enough kitandani mkeo hatokwenda saloon kujifunza ngono, lazima atakuja Kwako kwa kuwa anajua fundi anaye ndani! Huyo ameamua kwenda tuition kwa kuwa mwalimu wake hutoshi kumfunza....
 
mkuuu bwana mambo mengine ni kukaa nae mzungumze achana na kumrudisha kwao.. sababu ukirudisha ataenda fanywa huko tu
We miss chagga we unadhani Huyu anashida ya mkewe kuliwa? Kwa jinsi anavyolalama, mke atakuwa kafundishwa unyoso tu!
Hilo nadhani limemstua sana mleta mada, maana si kawaida kwa mwanaume kulalamika Hadi saloon eti mkewe kafundishwa ngono
 
Sasa umri alionao mkeo bado unasema kafundishwa kitu hivyo unaenda kuliamsha dude. Khaa

Wacha hizo we mwanaume jitambue na pia pambana na mkeo ambapo umuulize kaupendea nini huo mana mpaka anataka kufanyiwa huo mchezo jua ameupenda
Ehee emmyta wangu upo? Longtime...
Natamani nawewe uende saloon, usingenisumbua...
Ila huyo Kaka yako asikuumize kichwa, janaume gani linaleta Habari za kitandani kwake huku jf!
Sasa si Bora hao wa saloon.
 
me enzi hizo nilikua na manzi flani hivi nikampiga marufuku kukanyaga saloon, watu wa haki za binadamu wakaingilia kati.
 
We miss chagga we unadhani Huyu anashida ya mkewe kuliwa? Kwa jinsi anavyolalama, mke atakuwa kafundishwa unyoso tu!
Hilo nadhani limemstua sana mleta mada, maana si kawaida kwa mwanaume kulalamika Hadi saloon eti mkewe kafundishwa ngono
Yah
 
Back
Top Bottom