Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

juzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .

Sio kweli katka hili
 
Sasa umri alionao mkeo bado unasema kafundishwa kitu hivyo unaenda kuliamsha dude. Khaa

Wacha hizo we mwanaume jitambue na pia pambana na mkeo ambapo umuulize kaupendea nini huo mana mpaka anataka kufanyiwa huo mchezo jua ameupenda
Na ashaucheza nje vizuri tu mkuu ndo akurupuka saizi too late waendeleze tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa aina hii ndo wanaotudhalilisha Cc wanaume....yaani umeshindwa kulitatua hilo na ukimsuspend bac ujue ndo wazidi kuharibu maana wanawake nao maamuzi yao sometimes ni ya kulipiza..ataku bull shit na kwenda kuchukua uhuru wake kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mzima hivi anafundishwaje jaman ebu angalia wapi ulipokesea mkuu
 
Wachawi watu ukiona paka katumwa huyo.

Mkuu next time try & be a gentleman, act gently na utapata credits nyingi sana.

Huko kwetu Tarime mzee aliniambia maswala ya chumbani huwa yanaishia hukohuko hata kama wife mauno yake hata kutikisika ni shida huwa namezea then napambana na hali yangu.

Kimsingi fanya maamuzi lakini siku nyingine jiongezee kimya~kimya. Na kumbuka pia AKILI ZA KUPEWA CHANGANYA NA ZAKO
 
Sasa umri alionao mkeo bado unasema kafundishwa kitu hivyo unaenda kuliamsha dude. Khaa

Wacha hizo we mwanaume jitambue na pia pambana na mkeo ambapo umuulize kaupendea nini huo mana mpaka anataka kufanyiwa huo mchezo jua ameupenda
Wengine ni vijana
 
juzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .
Hii sasa balaa! Mwanamme akitaka kuficha siri itabidi atafute demu mwenye upara tu sasa!
 
Back
Top Bottom