Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Mkuu, masikio na akili kwa mwanadamu yeyote yule ni sawa na tank bila maji.
Kwa hiyo, itategemeana mkeo ana uwezo wa kuwa na filter ya kuchambua pumba, chuya au mchele.

Atakuwa labda, hajawahi au hajafanya kabisa hivyo ila maneno yaliyomiminwa kwenye masikio yake na akili zake ambazo hapo awali, hilo jambo hakuwahi fikilia ila sasa kaambiwa kuwa ni game nzuri.

Kwa hiyo, sasa kazi yako ni kupambana na hali hiyo hadi aelewe kuwa ni mchezo mchafu, una madhara kiafya na hata kijamii haikubaliki.

Any way, pole sana mkuu, maana uwezekano wa wife wako kuwa Wi-Fi ni mkubwa sana.
 
Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana na majibu aliyonipa.

Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa salon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.

Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.
huyu ndo yule uliekua unamsifia juzi kati hapa jf kwamba white,mzuri,anadekadeka na nini na nini sio?
 
Kuweni wabunifu pengine wife anataka akunjwe kama kilema flani hivi ( flexible) alafu wewe unamletea mijambo ya kizee, afadhali umepewa wewe mume vipi michezo hiyo akiwapa vi ben10? Mkanye mkeo mchezo huo sio mzuri hasa akija mpata fundi washeli
 
Back
Top Bottom