me sijui mkuuBila shaka mtandao wahusika hapo[emoji32] [emoji32]
Eti ampime oil jamaa wakati wa tendoAmefundishwa akufanyie nini
Labda alijifunza ili akuridhishe wewe, nyinyi ni watu wazima kwani si myaongee na mkeo, inahusu nini wewe kwenda kumuuliza dada wa saloon?
Alitaka umfanyie mchezo gani?
-Ndumilakuwili-
mlete tukusaidie kama we hutakiBaada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana na majibu aliyonipa.
Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa salon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.
Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.
Dah uko vzr mamaUkiona hivo basi jua na yeye alikuwa anapenda tabia mbaya.....i do believe mtu mzima na akili zake timamu hawezi kufundishwa tabia mbaya coz ana akili enough ya kujua kipi kizuri na kipi kibaya.........huyo mke wako alikuwa anapretend na sasa ndo anaonesha makucha yake
Waooooh thanks😉
Lohjuzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .